Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Amina ndiye anaanza kujieleza mbele ya wajumbe wa bunge maalumu.
 
Ana MBA ya finance na diploma ya sheria...ana watoto watano....na kwa bahati mbaya ameachika.....wajumbe wotee wanaangua kicheko
 
Mheshimiwa Amina anatwambia kuwa yeye ni mama mwenye watoto watano lakini kaachika,hii kali kweli wakuu.
 
Amina amasema ''mwenyekuti''' badala ya ''mwenyekiti''....apewa maelekezo, na sasa anajieleza kwa kuanza kumshukuru Mungu....Anajitambulisha....Ni mbunge, ana diploma ya law, amefanya benki....ana watoto, ila AMEACHIKA (vicheko, na zomea) mwenyekiti anawatuliza wajumbe,,,,anaendelea....
 
...huyu mama ameachika, alafu ataki kupoteza muda, anata MASWALA!
 
Haya tena, CCM wamefanikiwa kushika hatamu kwa hili?? Tutegemee nini hapa? Anyaway, kwa kuwa tunaye Sitta pale, I ama happy!!! Hata wangemweka makamu wa aina gani provided chaguo la wengi ndilo linashika usukani no prpblem. Cha msingi asiwe bias, awe anaruhusu demokrasia tu.
 
Amina Amour amesema kuwa ana MBA na ana diploma ya sheria. amesema kuwa ana watoto watano na ameachika
 
Sababu ya kuachika ni nini? Wabunge wotee wa kike wanapiga kelele suala hilo lisiulizwe. ...Pandu pia anakataa suala hilo
 
swali kwa Amina: Kama umeachika, ina maana una tabia mbaya....Muuliza swali anazomewa na kuambiwa akae chini....Kificho naye kapinga na kusema kama angekuwa na tabia mbaya asingeletwa humu ndani ya Bunge
 
Je atasimamia haki za wanawake kwenye bunge la katiba? Anajibu ndio
 
Hivi suala la kuachika ni la kushangaza?? Bravo mama kwa kusema ukweli. Na hao wanaocheka na kuzomea ndiyo hao hao baada ya bunge wengie wataachika!!!! Sasa wanacheka wakati watoto wao ndoa siku hizi kudumu ni adimu!!! Usicheke wakunga na uzazi ungalipo!!!
 
Sababu ya kuachika ni nini? Wabunge wotee wa kike wanapiga kelele suala hilo lisiulizwe. ...Pandu pia anakataa suala hilo
Hakika mkuu. Hawataki kujua sababu za kuachika kwake na hata mwenyekiti amesema kuwa suala hilo si la kuulizwa bungeni
 
Amina anasema kuwa maswali matatu yamefika
 
Swali kwa Amina: anatafsiri vipi umoja wa kitaifa?....jibu: umoja wakitaifa ndiyo huu tunautaka, na tunaupigania.....Kificho: hakuna tena maswali
 
Back
Top Bottom