Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Tafsiri ya umoja wa kitaifa ni nini? Anajibu kuwa ndio huu tunaoupigania.....amemaliza.....anaonesha ktokujiamini mh Amina
 
Sasa anakaribishwa Samia kujieleza mbele ya wajumbe
 
Hivi suala la kuachika ni la kushangaza?? Bravo mama kwa kusema ukweli. Na hao wanaocheka na kuzomea ndiyo hao hao baada ya bunge wengie wataachika!!!! Sasa wanacheka wakati watoto wao ndoa siku hizi kudumu ni adimu!!! Usicheke wakunga na uzazi ungalipo!!!
Hakika mkuu. Huyu mama amekuwa jasiri sana. Sema ndo hivyo kazidiwa nguvu na Samiha Suluhu
 
...wakuu' "Simiyu Yetu" na "Chabruma" naomba nyie mlio karibu na huyu bibie! MUULIZENI! "Amina, amesema yeye AMEACHIKA na ataki kupoteza muda, yeye anataka MASWALA! maswala gani hayo?
 
Ana elimu masters ya maendeleo ya jamii kiuchumi.....ana uzoefu wa miaka kumi na nne kazini....anamaliza kwa kuomba kura
 
mbona anasema mh waziri mkuu wakati umo ndani hakuna waziri mkuu wote ni wajumbe
 
Swali la kwanza ni mambo gani kayafanya ktk muungano
 
Bulaya anamuuliza....ww ni waziri wa muungano....umefanyaje kuudumisha muungano? Na nini matarajio yako kuhusu muungano
 
Samia: anaanza kwa salamu....Ni mgombea elimu: Masters ya Maendeleo ya Jamii Kiuchumi, ana uzoefu wa 14 years Katika Baraza la Waakilishi....Pia amekuwa Waziri katika Wizara tatu.......Swali: shikamoo.....Wewe ni Waziri, ni mambo gani umefanya ili kuudumisha Muungano .....Jibu: ni Kupunguza kero/changamoto za Muungano, na kuondoa changamoto 13.....anashangiliwa
 
Amejibu kwa kusema ametatua kero zote .....amebakiza moja tu kero ya uchumi
 
Kiukweli namfagilia sana huyu mama. Anajiamini sana na labda uzoefu wake kwenye serikali unamfanya ajiamini sana
 
Ni vitu gani amejifunza kutoka kwa mwenyekiti wa muda? Suala la kwanza ni Umakini....la pili ustahimilivu.....amwmaliza kwa kujibu hivyo mh suluhu
 
Back
Top Bottom