Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina Amour amesema kuwa ana MBA na ana diploma ya sheria. amesema kuwa ana watoto watano na ameachika
...huyu mama ameachika, alafu ataki kupoteza muda, anata MASWALA!
Hakika mkuu. Huyu mama amekuwa jasiri sana. Sema ndo hivyo kazidiwa nguvu na Samiha SuluhuHivi suala la kuachika ni la kushangaza?? Bravo mama kwa kusema ukweli. Na hao wanaocheka na kuzomea ndiyo hao hao baada ya bunge wengie wataachika!!!! Sasa wanacheka wakati watoto wao ndoa siku hizi kudumu ni adimu!!! Usicheke wakunga na uzazi ungalipo!!!