Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpunguze kuachika
Mkuu, nadhani umepotea njia. Mambo hayo tunajadili kuleeeee kwenye jukwaa la siasaKinacho nifurahisha ni jinsi ccm ilivyo jipanga katika bunge hili kwa kila jambo, tena kwa hoja, kuanzia mwenye kiti wa muda, mwenyekiti wa kanuni mwenyekiti wa kudumu na makamu wake, hapa utaona ukomavu wa chama kama ccm ni mfano wa kuigwa
Pamoja sana mkuu japo some time napost kiwizi kidogo ili nisionekane niko bize sana nikawakwaza wengine ila ntajitahidi kadri niwezavyo ili twende pamoja.Nipo mkuu, lete updates hasa kwa kua wewe uko mjengoni
Kinacho nifurahisha ni jinsi ccm ilivyo jipanga katika bunge hili kwa kila jambo, tena kwa hoja, kuanzia mwenye kiti wa muda, mwenyekiti wa kanuni mwenyekiti wa kudumu na makamu wake, hapa utaona ukomavu wa chama kama ccm ni mfano wa kuigwa
Wakuu kesho saa nne rais anawaapisha katibu na msaidizi wake ikulu ndogo hapa dodoma na baadaye saa kumi mwenyekiti naye ataapa hapa bungeni na kufuatiwa na wajumbe wengine.
Pamoja sana mkuu japo some time napost kiwizi kidogo ili nisionekane niko bize sana nikawakwaza wengine ila ntajitahidi kadri niwezavyo ili twende pamoja.