Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Kesho mwenyekiti na makamu mwenyekiti wanaapishwa jioni
 
Kesho ni kiapo cha Katibu na Naibu Katibu hiyo kesho saa nne asubuhi. Kesho jioni ni kiapo cha Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na wabunge
 
Kinacho nifurahisha ni jinsi ccm ilivyo jipanga katika bunge hili kwa kila jambo, tena kwa hoja, kuanzia mwenye kiti wa muda, mwenyekiti wa kanuni mwenyekiti wa kudumu na makamu wake, hapa utaona ukomavu wa chama kama ccm ni mfano wa kuigwa
 
Wajumbe wanaombwa kushiriki michezo, usafiri utataftiwa utaratibu
 
Wakuu kesho saa nne rais anawaapisha katibu na msaidizi wake ikulu ndogo hapa dodoma na baadaye saa kumi mwenyekiti naye ataapa hapa bungeni na kufuatiwa na wajumbe wengine.
 
Kinacho nifurahisha ni jinsi ccm ilivyo jipanga katika bunge hili kwa kila jambo, tena kwa hoja, kuanzia mwenye kiti wa muda, mwenyekiti wa kanuni mwenyekiti wa kudumu na makamu wake, hapa utaona ukomavu wa chama kama ccm ni mfano wa kuigwa
Mkuu, nadhani umepotea njia. Mambo hayo tunajadili kuleeeee kwenye jukwaa la siasa
 
Wabunge wote wa bunge la jmt wanaotoka cuf wanaombwa kuhudhuria kikao baada ya shughuli za bunge kuahirishwa
 
Nipo mkuu, lete updates hasa kwa kua wewe uko mjengoni
Pamoja sana mkuu japo some time napost kiwizi kidogo ili nisionekane niko bize sana nikawakwaza wengine ila ntajitahidi kadri niwezavyo ili twende pamoja.
 
Tangazo linalowahusu wenye nywele nyeupe. Lowasa, Lembeli, Owenya nk. Sijui wanaenda kujadili nini
 
Utaratibu wa kuapa unatakiwa uandaliwe na kujulishwa wajumbe
 
Wajumbe wanaomba kujua mantiki ya kiapo chao hapo kesho ila kificho anajibu kwa kusema kipo ndani ya kanuni na wakisome wataelewa
 
Kinacho nifurahisha ni jinsi ccm ilivyo jipanga katika bunge hili kwa kila jambo, tena kwa hoja, kuanzia mwenye kiti wa muda, mwenyekiti wa kanuni mwenyekiti wa kudumu na makamu wake, hapa utaona ukomavu wa chama kama ccm ni mfano wa kuigwa

Huyu Sururu sio CUF?
 
Wakuu kunamjumbe analeta kituko kidogo eti hajui hicho kiapo cha wajumbe kesho kinawahusu nini wajumbe.
 
Oluwoch anaomba mwenyekiti na makamu washiriki kuapisha wajumbe badala ya kwenda kuapa kwa mwenyekiti tu. Lakini kificho anarudi kwenye kanuni kua atakuja mjumbe mmojammoja kuapishwa
 
Wakuu kesho saa nne rais anawaapisha katibu na msaidizi wake ikulu ndogo hapa dodoma na baadaye saa kumi mwenyekiti naye ataapa hapa bungeni na kufuatiwa na wajumbe wengine.

Mkuu unazunguka muda si mrefu ulikuwa Kalenga sasa upo Dodoma
 
Pamoja sana mkuu japo some time napost kiwizi kidogo ili nisionekane niko bize sana nikawakwaza wengine ila ntajitahidi kadri niwezavyo ili twende pamoja.

Mkuu mimi si mbunge na wala sijihusishi na mambo yenu ya kisiasa, vipi naruhusiwa kuku pm ili kukuhoji baadhi ya mambo?
 
Back
Top Bottom