utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,813
Wadau, nipo ndani ya ukumbi wa bunge na kuna dalili zote leo Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi Andrew Chenge hatawasilisha Rasimu hiyo. Hii ni kutokana na kazi ya kuandaa rasimu hiyo kutokamilika. Tayari Mwenyekiti wa Bunge Maalum Sammuel Sitta amewasili kwenye viunga vya bunge
Mabadiliko yanayofanyika yanahusu kanuni za 36 hadi 39 zinazohusu upigaji kura. Amon anasema kuwa kanuni hizo zilirekebishwa zitawezesha wabunge walio nje ya ukumbi wa bunge kupiga kura popote walipo. Kuhusu kanuni ya 36, mabadiliko yanafanyika ambapo badala ya kupiga kura kwa kila ibara kwa wabunge wote, sasa wabunge watapigia kura sura husika. Amon anasema kuwa mbunhe ataeleza wakati wa kupiga kura ibara anazokubali na sile asizokubali. Hali hiyo itaokoa muda na hivyo zoezi hilo kufanyika kwa muda mfupi.
badilisha heading kwanza...sitta hana mamlaka ya kubadili kanuni, hiyo ni mandate ya bunge
Ni dalili za kufeli.....................ukishaona kila sehemu munabadilisha mara sheria mara kanuni...................ujue hakuna kitu hapo......................!!!
Mkuu, historia ni historia tu. haijalishi inawekwa na nani. Unajua hata wale wanariadha wanatengeneza rekodi ambazo zinabaki kwenye kumbukumbuMkuu Chabruma hapo hakuna historia yoyote inayoandikwa, hiyo ni ile katiba ya ccm, wananchi RASIMU yetu ilisitishwa kujadiliwa bungeni TRH 16.4.2014. Na Kazi kukusanywa maoni ya wananchi haikuwa jukumu la Sita bali Jaji Joseph Sinde Warioba.
Mkuu, historia ni historia tu. haijalishi inawekwa na nani. Unajua hata wale wanariadha wanatengeneza rekodi ambazo zinabaki kwenye kumbukumbu
Ni ya Watanzania wote kutokana namkukidhi matakwa ya kisheria na utashi wa kisiasaMkuu ni kweli historia ni historia, maana hata tunakumbuka leo historia mbaya ya Hitler na wengineo.
Je ni kweli kabisa Rasimu hiyo ya tatu ni ya wataz?
Kuna tatizo gani kama sheria zinaruhusu.