Naomba kupewa dondoo kuhusu maridhiano yaliyofikiwa ktk vifungu vya 37 na 38 kabla semina haijaanza.
cc. Chabruma
cc. MaishaPesa
cc. Simiyu Yetu
cc. Mjumbe mwingine yeyote mwenye kujua hili
Naam kwa mbali nawaona wajumbe wa kamatinya mashauriano wakiingia ukumbini tena wengine kwa kukimbia
Hakika mkuu. Kuna Mzanzibar mmoja nimemuona akikimbia ukumbini wakati akina mzee Cheyo wakija kwa kujivuta. Nimemuona pia Mbowe, Mbatia na wale viongozi wa dini wakiingiaMbio za usain bolt....au mwendo wa chapu....hivi wanaweza kukimbia hao
Mwenyekiti anasema kuwa kabla hajamwita Mwenyekiti wa akamati ya Kanuni kusoma Azimio la kuridhia Kanuni, atamkaribisha Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauriano kusema yale waliyoafikiana. Anasema kuwa kamati ya mashauriano haijamaliza kazi yake na anawataka radhi wajumbe ili wasubiri kwa dakika chache. Bunge linasimama tena kwa muda usiojulikana
Mkuu, unajua unavyofanya kazi bila miongozo, inakuwa kero sana. Hata hivyo nadhani mwendo ni mzuriHivi ndugu zetu wanajua chakufanya hapo bungeni, kila kitu tusubiri kidogo! Mungu wa mbingu na nchi tuwezeshe kupata katiba mpya ya watanzania