Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Sijuwi kama kitafanyika watasema mpaka kesho tushazoea
 
Mwenyekiti anasema kuwa walilazimika kuqhirisha kwa muda kwa vile zoezi la kurudufu Azimio na Kanuni lilichukua muda mrefu
 
Mwenyekiti anasema kuwa kabla hajamwita Mwenyekiti wa akamati ya Kanuni kusoma Azimio la kuridhia Kanuni, atamkaribisha Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauriano kusema yale waliyoafikiana. Anasema kuwa kamati ya mashauriano haijamaliza kazi yake na anawataka radhi wajumbe ili wasubiri kwa dakika chache. Bunge linasimama tena kwa muda usiojulikana
 
Wabunge wameombwa kuendelea kubaki ukumbini kuwasubiri wajumbe wa kamati ya mashauriano ambao bado hawajaingia, wajumbe hao wa kamati ya mashauriano wanatarajiwa kuja kutoa maelezo ya kile 'walichokubaliana' ngoja tusubiri tuone.
 
Wajumbe wa kamati ya maridhiano bado hawajakamilisha kazi yao....hivyo wanasubiriwa wao...
 
Mwenyekiti bado yupo kwenye kiti chake na kinachosubiriwa ni wajumbe wa kamati ya mashauriano kuingia Bungeni
 
Naam kwa mbali nawaona wajumbe wa kamatinya mashauriano wakiingia ukumbini tena wengine kwa kukimbia
 
huu mchezo wa kuhairisha umepangwa na ccm ili mambo yao ndio yasikilizwe na waongeze muda wa siku za posho kila muda wanahairisha hasira sana unaweza piga bomu wote kujadili kanuni wiki 3 hapa kutatapata katiba mpya
 
Naam kwa mbali nawaona wajumbe wa kamatinya mashauriano wakiingia ukumbini tena wengine kwa kukimbia

Mbio za usain bolt....au mwendo wa chapu....hivi wanaweza kukimbia hao
 
Mwenyekiti anawahimiza watendaji kuendelea kugawa kanuni
 
Mbio za usain bolt....au mwendo wa chapu....hivi wanaweza kukimbia hao
Hakika mkuu. Kuna Mzanzibar mmoja nimemuona akikimbia ukumbini wakati akina mzee Cheyo wakija kwa kujivuta. Nimemuona pia Mbowe, Mbatia na wale viongozi wa dini wakiingia
 
Mwenyekiti anasema kuwa kabla hajamwita Mwenyekiti wa akamati ya Kanuni kusoma Azimio la kuridhia Kanuni, atamkaribisha Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauriano kusema yale waliyoafikiana. Anasema kuwa kamati ya mashauriano haijamaliza kazi yake na anawataka radhi wajumbe ili wasubiri kwa dakika chache. Bunge linasimama tena kwa muda usiojulikana

Hivi ndugu zetu wanajua chakufanya hapo bungeni, kila kitu tusubiri kidogo! Mungu wa mbingu na nchi tuwezeshe kupata katiba mpya ya watanzania
 
Mwenyekiti anamkaribisha Lipumba kuzungumza waliyoafikiana. Baada ya hapo atakaribishwa Mbowe
 
Lipumba amekaribishwa kusema neno, naona ameanza kuzungukazunguka ili muda uende.
 
Kuna nchi nyingine zilichukua miezi sita kuandaa kanuni-Lipumba
 
Hivi ndugu zetu wanajua chakufanya hapo bungeni, kila kitu tusubiri kidogo! Mungu wa mbingu na nchi tuwezeshe kupata katiba mpya ya watanzania
Mkuu, unajua unavyofanya kazi bila miongozo, inakuwa kero sana. Hata hivyo nadhani mwendo ni mzuri
 
Back
Top Bottom