Ni kweli mkuu. Hakika kitendo cha kukaa muda mrefu bila ya kufikia muafaka kwenye hoja iliyo dhahiri, ni wazi kuwa kodi zetu zinapoteaNdiyo ni chombo muhimu lakini kwa kadiri wanavozidi kuchelewa kufikia maamuzi ndivyo kodi zetu zinavyozidi kuteketea, mkuu mimi nina uchungu na kodi zetu tu na si vinginevyo japo napenda maridhiano yaliyo bora.
. Pia kile kikao cha Mashauriano kinaendelea
Mkuu Skype heko sana, nafikiri mdau alihitaji list ya wajumbe wanaounda kamati ya mashauriano, namu napenda kuwajua ni akina nani ili tujue uamuzi wa siri/wazi utakuwa muelekeo upi?
Kama ni kweli simiyu yetu naye ni mjumbe wa bunge hili basi nchi hii imelaaniwa na pale wamejaa wahuni na wajinga wajinga tu, hamna la maana.
Mkuu, kwa bahati mbaya orodha ya kamati ya mashauriano haikuwekwa bayana. Ila wajumbe ninaowafahamu kwa haraka haraka ni Mbowe, Mbatia, Lipumba, Askofu Mstaafu Donald Mtetemela, Sheikh Jongo, Cheyo, Wasira na wengine. Wamo pia wajumbe kutoka wwle 201Mkuu Skype heko sana, nafikiri mdau alihitaji list ya wajumbe wanaounda kamati ya mashauriano, namu napenda kuwajua ni akina nani ili tujue uamuzi wa siri/wazi utakuwa muelekeo upi?
saa tano si hii, tujuzeni kinacho....
Pamoja sana Mkuu. Nilisahau hilo jina la Pinda. Pia yupo Anna Makinda
Mkuu, mchakato wa Katiba mpya ni pamoja na Bunge la Katiba. Hivyo kuwa na subira juu ya yanayoendelea. Wote wana lengo moja tuJaji warioba ndio aliekuja kuongea na sisi
Wananchi na tukamtuma kwa wingi wetu wa
Asilimia 61 tumeshatoa mongozo
Hawa Maccm wametumwa na nani?
Mkuu, bado wabunge wanaendelea kuingia ukumbini. Kikaomcha Mashauriano kinaendelea muda huu
Haya mkuu, majina ya wajumbe wote haya hapa.
Saa 5 za watanganyika na Wazanzi bara na Wazanzi visiwani sio + Lisaa 1 ni sawa na mida ya saa 6 kasorobo kweli au
Mkuu, Mwigulu alikuwepo sikunya Ijumaa na Jumamosi. Leo sijamuona ila nina hakika kuwa yupo kwq vile kuna vikao vya CCM vinaendelea na Mwenyekiti taifa yupo hapa kwa siku tatu
Mkuu, katika mchakato huu wa katiba, hata kama watu mnatofautiana kiasi gani, kuaminiana ni jambo la maana sanaBinafsi kwa maoni yangu sina imani tena na mtu huyu kwa ujeuri na dharau alizonazo kwa wananchi, anyway wacha nisubiri matokeo ya kikao hicho.