Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa mgombea Urais Dkt. Magufuli (CCM) - Septemba 14, 2020

Hekta elfu 60 ni sawa na mikoa mitatu, inawezekana mtu mmoja akamiliki?

Jibu Kuhusu mafao aisee, acha kuruka ruka.

Vipi Kuhusu watu kupigwa Tarehe miezi 4 mpaka 6? Pesa imeenda wapi.... kwenye Kampeni?
 
Bila wakulima wakubwa chakula kitatoka wapi? Wasipolima hawa wazee wenye pension kubwa Nani alime?

Kwa hiyo Watanzania wengine wakawe watumwa, Kuna tofauti gani na manamba kipindi cha ukoloni wa Mgermani?

Kwa hiyo hao Ni Watanzania pekee wanao weza kulima?

Acha akili za kutumwa, hata wewe unaweza kulima na kupata Mali.

Ukipewa acre 50 utashindwa kusimamia? Kama huwezi wewe Ni kilaza...

Mtu akipewa Shamba, atakuwa anakopesheka

Angalia Akina Mo, Avoid, etc...walipewa Mashamba na kukopa mabenki. Wewe hutaki Pesa au unataka tu mlamba viatu?
 
MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE

Tumia hizi Links Chini Kufuatilia Kila kitu kutokea Chato, Geita

Hivi mbona ukuwawekea hizi picha, ili watu wajue hao watu wanaoujaza huo uwanja walitoka wapi?

Ngoja niongeze na hizi picha hapa ili mjue kwa nini kuna watu wengi kweny mikutano yake.
imagess.jpg

imagesx.jpg

imagesz.jpg
 
Huu mti utaanguka tu Mungu atakapopenda. Ninakumbuka kijijini kwetu kulikuwa na miti miwili mikubwa sana na ilishindikana kuiangusha. Cha ajabu siku moja ilipigwa na radi na kukauka siku moja na hiyo radi ilipasua hiyo miti vipande vipande. Majirani walishukuru sana siku hiyo. Kwa hiyo CCM ilivyokaa kaa kuiangusha ni ngumu. CCM msichukie Chadema. Mngekuwa watu wema mngewasifu Chadema kwa kuwa inwasaidia sana kuamka usingizini. Hili jambo la kusema mkichagua upinzani siwezi kuleta maendeleo halijakaa sawa. Maana ukiwaletea maendeleo next time hawatachagua upinzani. Kwa vyama vyote, wekeni Sera nzuri za kuwaunganisha watu. Siyo hii tulio nayo ya kuona mtanzania mwenzangu kwa kuwa ni mwanachadema au mwanaccm ni adui. Kujibu mwanzako kwa hasira haileti tija bali mjibu kwa hoja ukijua ni siasa na kesho tukae meza moja kama watanzania na kuendeleza nchi kwa pamoja. Hii inawzekana tu kama tutaondoa ulaghai kwenye siasa kwa ajili ya kupenda tumbo kuliko kuwatumikia wananchi.

Mungu ibariki Tanzania
 
Umesema vyema sana ndugu,Nikupongeze kwa fikra pana zenye macho yakuona siku zijazo,Ila pia na wapinzani wajue upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanyika na serikali kwani sio vyote ni vibaya na pia wapunguze kutumia matusi na kejeli kwani ndizo zinazowaponza.
 
MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE

Tumia hizi Links chini Kufuatilia Kila kitu kutokea Chato, Geita

===
MAGUFULI: MZEE MKAPA NDIYE ALIYENIOKOTA HUKO ‘JALALANI’

Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Magufuli amesema akimfikiria Hayati Rais Mkapa huwa anaumia kwenye nafsi yake

Amesema Rais Mkapa ndiye aliyemuokota ‘Jalalani’ amesema hayo kwa kuwa kuna watu wanadai siku hizi mtu akipata kazi anasemwa amokotwa jalalani na Magufuli

Dkt Magufuli amesema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa Kampeni uliofanyika Chato mkoani Geita. Aidha amewataka wananchi kuendelea kumuamini

Katika Kampeni hizo Magufuli amesema walisimama imara kukomesha uhalifu, kama maeneo ya Kibiti na Biharamulo. Amewapongeza sana vyombo vya ulinzi na usalama

Hakika Chato mnastahili pongezi.
 
Hotuba ya Mheshimiwa Rais Magufuli imejaa uzalendo na azma ya kuhakikisha nchi hii inakuwa na maendeleo na kutokomeza umaskini.
 
MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE

Tumia hizi Links chini Kufuatilia Kila kitu kutokea Chato, Geita

===
MAGUFULI: MZEE MKAPA NDIYE ALIYENIOKOTA HUKO ‘JALALANI’

Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Magufuli amesema akimfikiria Hayati Rais Mkapa huwa anaumia kwenye nafsi yake

Amesema Rais Mkapa ndiye aliyemuokota ‘Jalalani’ amesema hayo kwa kuwa kuna watu wanadai siku hizi mtu akipata kazi anasemwa amokotwa jalalani na Magufuli

Dkt Magufuli amesema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa Kampeni uliofanyika Chato mkoani Geita. Aidha amewataka wananchi kuendelea kumuamini

Katika Kampeni hizo Magufuli amesema walisimama imara kukomesha uhalifu, kama maeneo ya Kibiti na Biharamulo. Amewapongeza sana vyombo vya ulinzi na usalama

Watanzania tunasema T2020JPM.
 
Hotuba bora kabisa ya JPM imesheheni data za maendeleo yaliyofanywa na serikali yake na linkage ya manufaa ambayo watanzania wameyapata .
Kama wakina Lissu hawayaoni haya mfano ujenzi wa hospitali za rufaa, mikoa na wilaya na jinsi watu wanavyonufaika kwa kupata huduma bora za afya basi watakuwa zaidi ya vipofu.
 
Kwa hiyo Watanzania wengine wakawe watumwa, Kuna tofauti gani na manamba kipindi cha ukoloni wa Mgermani?

Kwa hiyo hao Ni Watanzania pekee wanao weza kulima?

Acha akili za kutumwa, hata wewe unaweza kulima na kupata Mali.

Ukipewa acre 50 utashindwa kusimamia? Kama huwezi wewe Ni kilaza...

Mtu akipewa Shamba, atakuwa anakopesheka

Angalia Akina Mo, Avoid, etc...walipewa Mashamba na kukopa mabenki. Wewe hutaki Pesa au unataka tu mlamba viatu?
Unanipa shamba nilime kea jembe la mkono? Pembejeo ntatos wapi? Technology? Babangu hakulima mine mjukuu nilime kea umasikini upo?
 
Jibu Kuhusu mafao aisee, acha kuruka ruka.

Vipi Kuhusu watu kupigwa Tarehe miezi 4 mpaka 6? Pesa imeenda wapi.... kwenye Kampeni?
Nani kakuambia mafao ni mpesa muda wowote inachukua?
 
Sasa wajibuni hivyo Basi, wafanyakazi...kuwa Ni sawa kusubiri miezi 6 na Statement yake ya michango anayo mikononi.
 
Back
Top Bottom