Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Ni kweli moto wa mabua umehamia kwa malofa na wapumbavu wa Chato alikozaliwa John Pombe Magufuli, mgombea Uraisi wa Chama cha Mapinduzi.










 

Attachments

  • Chato6.jpg
    108 KB · Views: 293
Kujifariji pia ni dawa.... Hata mwenyekiti wenu alisema hizo ni Picha za kutengeneza , naye alipata dozi yake ya kujifariji.
 
Basi kwa desturi za magamba wataanza kufanya maandalizi ya mkutano wa magufuli chato wiki mbili kabla. Ikiwa ni pamoja kukusanya watu kutoka vijijini na wilaya za jirani na chato ili kumfunika Lowassa! Jamaa wana kazi hawa mwaka huu! He! He! He! Hahahaahah!! Hu! Hu! Hu!
 
Hatuitaji mtu anayeongea kama kameza cd alafu mwisho wa miaka mitano anaogopa hata kupita mitaa aliyopiga kampeni maana hana alichotekeleza. Uliza meli za ziwa victoria ziko wapi.

Meli ziko ziwani
 
Kwani lazima upostp? Si ungechangia kwenye uzi aliouweka mwenzio ambao unaendana na wako
 
Wanachato nawahakikishia km lowasa alipitisha bomba la maji toka victoria kuja wananchi, hata nyie mtapat maji na ajira kwenu vijana hapa hakuna porojo za maneno, Ukawa ni Og na ccm ni mchina tn feki. Haaahaaahaaa mpeni kura Lowasa tupate mabadiliko.
 
Nimesikitshwa sana tena sana kwa TANESCO kuzima umeme hapa Mwanza ilipofika saa mbili usiku na ninahisi waliogopa kuonyesha mafuriko ya UKAWA kule Chato. Ilipofika saa tatu na dakika tano muda ambao taarifa ya habari ikiwa imekwisha wakawasha umeme. Nawaomba TANESCO mtende haki na Tulipo tuna Mungu nyuma yetu.
 

hafai kabisa kuwa Rais huyu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…