Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Kila kukicha haachi kutaja marafiki zake, ishakua kama wimbo sasa. Mama Ntilie, bodaboda na machinga
Na hao ndio wanakura za kutosha....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kukicha haachi kutaja marafiki zake, ishakua kama wimbo sasa. Mama Ntilie, bodaboda na machinga
Kujifariji pia ni dawa.... Hata mwenyekiti wenu alisema hizo ni Picha za kutengeneza , naye alipata dozi yake ya kujifariji.Hv UKAWA mnajitambua kweli?Kila concern yenu ni nyomı,mafuriko.Hata watu wakiwa kumi utasikıa nyomi hatare.Hao watu wa Chato wala si wengı kwa idadi ya ajabu,tungetafuta wangetupa idadi then tukangoja John aende huko ili tufanye ulinganifu.Maneno km hayo yalifanyika Jangwani na Moro.Mnajisıfıa kwa vıtu ambavyo havpo,sema hamhudhurii mikutana ya wenzenu kuona uhalisia.Mlizidiwa Jangwani,Moro na Tabora lakn mkawa mnakazana kuwa mnajaza watu.Hata hvyo mtapata watu kwenye mikutano wenye kiu ya kujiridhsha na uwezo wa mtu wenu kihoja na kinguvu.Bahati mbaya anashndwa kuprove,anawa-disappoint.
Hatuitaji mtu anayeongea kama kameza cd alafu mwisho wa miaka mitano anaogopa hata kupita mitaa aliyopiga kampeni maana hana alichotekeleza. Uliza meli za ziwa victoria ziko wapi.
Kila kukicha haachi kutaja marafiki zake, ishakua kama wimbo sasa. Mama Ntilie, bodaboda na machinga
Mwamba wa kaskazini huyo
lowasa ni rais anayesubiri kuapishwa....
Si bora hata huyo Lowass anaongea kidogo lakini sisi tumedhamiria kuwa hata jiwe(ambalo haliongei) likishindana na CCM sisi tutachagua jiwe..Issue yetu hapa sio kuongea bali ni kulitoa shetani CCM Bora kukaa kimya badala ya kutukana watu..umeshasahau Magufuli alivyotutukana sisi wa Kigamboni?? "Kama hamna nauli pigeni mbizi"" Na hapo Chato kawatukana watu wa kwake "WANYE BARABARANI WASAMBAZE KINYESI IWE RAMI"
Sasa si bora kukaa kimya ndio busara mkuu!!