Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Kwenye press conference ya leo nadhani ulisikiliza vizuri maneno ya January Makamba....projection za ushindi wa Magufuli alizofanya ali-base sana kwenye mahudhurio makubwa ya mikutano ya Magufuli

Why the spade cannot fetch same things in UKAWA!!! Acha unafiki Bro! Hizo ndio tunaziita propaganda missions!

Asante sana kwa kumpatia jibu zuri sana mkuu
 
Mbona hakuna viongozi wa UKAWA wala mgombea pichani, au ni mkutano wa kutizama ngonjera na waigizaji.
 
Yule kokoro wa CCM hapo Chato hawataki hata kumsikia.. Sababu kubwa ni ushirikina wake.. Kofuli ni mshirikina aliyekubuhu, na wala hana time na Chato yake.. Hapo hata Ubunge angepigwa chini mwaka huu kama vile alivyopita kwa mbinde 2010
 
attachment.php

Naona kuna watu wamekuja kujisalimisha na kukabidhi bendera ya ccm..
 
nauliza swali ccm walisema hari mpya na kasi mpya baadae wakajana kilimo kwanza mwaka huu wamekuja nanini? plz

Sasa hv hata slogan zao zimepitwa na wakati. Utamsikia Magufull tu akisema sitawaangusha kwani ilikuwa tuko juu miti.?
 
Watu wanaenda kushangaa jizi.Hv kwa akili zenu mnadhani hata Chato mtapata kura??You must be crazy guys.
 
Nilidhanigi ma wewe una msimamo!

Hatuwezi kufanana kwenye kila kitu ndugu yangu mimi ni mpinzani wa ccm tangu 1984, na sijawahi kukipenda hicho chama tangu wakati huo
Msimamo wangu ulibaki hivyo hata baada ya vitisho vya kufukuzwa kazi na utumishi.. Nilibaki na msimamo huohuo nimekosa mengi sana kwakuwa tu nilikuwa siivi na ccm na sijawahi kujutia huo uamuzi
Siasa za mageuzi zilikuwa 1992 Mimi nikiwa mpinzani Binafsi miaka 8 kabla, naifahamu ccm vizuri sana na nina kila sababu ya kuwa na msimamo wangu katika hili
Waliosoma Enzi za kunywa uji wa 'bulga' kupewa mikebe na madaftari bure kupata elimu ya uhakika mpaka kipato cha sita kwa Ada nafuu mno na hatimaye chuo kikuu watanielewa zaidi, ccm baada ya kifo cha Moringe Sokoine ilipoteza dira na mwelekeo, aliyotabiri mchonga miaka ile ndio yanatokea sasa.... barafuyamoto ninapochagua kushabikia upinzani nina sababu na maana kamili ninajitambua na nina msimamo thabiti katika hili... Nchi hii leo hii wananchi wamekuwa raia daraja la pili, huku wageni wakitukuzwa na kupewa kipaumbele kwenye kila sekta

Yako wapi madini yetu??? Tumeachiwa nini? Mashimo ya nguchiro na panyabuku na mazalia ya mbu... Viko wapi viwanda vyetu? Viko wapi vyama vyetu vya ushirika? Michezo yetu? Maliasili zetu?
Tumetapanya na kuharibu kila kitu, tumefisha vyote kwa ajili ya mlungula na ten percent...! Uroho na kukosa uzalendo
barafuyamoto tulikuwa na ccm nzuri sana ccm ya mchonga meno nchi ilikuwa inaongozwa kwa vision chama kilikuwa kimeshika hatamu na tulikuwa tunaona kabisa tulikotoka tulipo na tuendako, tuliheshimika na kuaminika kama chama kama nchi na kama taifa... Leo hii Heshima na uaminifu wa ccm vipi wapi?

Tumesafiri tumeona kwa wenzetu tuliokuwa nao miaka ile leo wametuacha mbali sana... Tulikosea wapi? Ghiliba ulozi kukengeuka kwa chama na kuacha misingi yake... Kuipa siasa thamani kubwa vimetufikisha hapa tulipo na hii yote ni kupitia ccm

Haya siyaandiki Leo niliandika sana wakati ule wa wa gazeti la MTANZANIA kupitia safu ya shusha pumzi sikubakisha kitu na baadhi ya makala ziliniponza na mengi lakini sikuacha kuandika
Nina amani sasa nina furaha sasa kuona sasa mabadiliko yanakuja nilitamani nilione hili namwomba Mola anisaidie kuona mwisho wake.. Hatukupambana majukwaani kwakuwa kila mtu ana jinsi yake ya kupambana....mageuzi ya Tanzania Yana jasho langu na Lowassa nilimkubali tangu zamani na huo ndio msimamo wangu
 
Last edited by a moderator:
wana chato wamezungumza ha ha magufuli chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii huwezi katawaliwa kwa mama yako mzazi
 
Ukawa huwa wanapaki yao mbali wanaelekea eneo la tukio kwa miguu, CCM hakuna usanii na maigizo tunajiamini tunachokifanya, tupo wazi, kama hapo unaona jamaa wamefika salama kabisa mkutanoni.

Ndio maana kila siku nakwambiaga kuwa jaribu kutumia akili kidogo
 

Attachments

  • 1442412506419.jpg
    1442412506419.jpg
    40 KB · Views: 364
Asee nipo Geita hapa ni balaa tupu na muda huu Edo anatokea Chato.Mafuriko ya hapa Geita ni Shida...

Hongereni sana wana wa kanda ya ziwa muonyesheni magufurii kuwa uzawa hausaidii kitu
 
Aksante wanachato.....

Kila la Kheri Lowassa......

Kila la Kheri ukawa......

Kila la kheri Chato......
 
Back
Top Bottom