Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

nimependa bango lililoandikwa "ALISEMA WATU WA BUZIKU WANYE BARABARANI WASAMBAZE KINYESI KIWE RAMI"....duuuh! hizo kauli zitamponza

Huyu mtu ana mdomo mchafu sana...
Hastahili hata uenyekiti wa serikali ya mtaa!
Nimeamini ya kuwa muda wa mabadiliko ni huu!
Wananchi wameshafanya maamuzi!
 
Watu kweli wamedhamiria kumtoa mkoloni mweusi...

Hili ni moja ya eneo nililotamani sana kuona Ukawa wakifika na muitikio wa watu...
 
Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.

Magufuli akienda arusha mkia mzima Wa moshi na viunga vyake wataamishwa arusha ili waoneshe na wao wanaweza

Ccm chama cha msoga chenye vijimambo chungu tele
 
Magufuli anamkampenia Lowassa, au nyie hamuoni dalili? Ukawa tumeingia ikulu kiulainiiii..!!
 
Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.

Picha mkubwa, maneno hayavunji mfupa
 
nimependa bango lililoandikwa "ALISEMA WATU WA BUZIKU WANYE BARABARANI WASAMBAZE KINYESI KIWE RAMI"....duuuh! hizo kauli zitamponza

Magufuli mbona sisi wa Kigamboni tumemzoea!!!Si alituambia kuwa "Kama hamna nauli pigeni mbizi"" sasa sisi huku tunamsubiri kwa hamu sana…Na tutampokea kwa maneno hayo hayo ya dharau….bado inaniuma sana
 
Duh Lowasa sasa hii sifa mzee wangu,mbona umemuumiza mwenzio nyumbani kwao mbele ya wazazi wake?

Amemng'oa mwenzie meno bila ganzi. Nilidhani yale ya Saddam kuwa raisi wa Kuwait ni umbumbumbu wa masuala ya kimataifa kumbe siyo. Vichapo vya ugenini haviesabiki na sasa kichapo cha nyumbani kama hiki tutarajie kusikia vioja zaidi.

Jamani, kwani kampeni huwa hazina half time???
 
Vipi na ule wa Geita umeufuatilia?

Ndio tumefuatilia toka alipotua Nyangwale asubuhi baada ya kuwaona wazee na vijana wengi wakimpungia kwa kumwonyesha vidole viwili nae mtu wa watu akamuamuru rubani kushuka na kupaki pembeni. Alisalimiana na ule umati baadae akaelekea chato kwa Magufuli kuhutubia kama ilivyo ratiba. Kama kawaida wakati wa kutoka Chato akakuta umati sawa na mkutano Geita mjini nae bila hiyana akashuka kuwasalimia. Ujue kufuatana na ratiba leo haikuwa siku ya kuhutubia wananchi wa Geita na hata hivyo muda uliobakia haukuzidi nusu saa na ujue hakikuwepo kibali cha mkutano na maandalizi kama vyombo na jukwaa havikuwepo hivyo alishuka kuwasalimu tu na Tundu Lisu kuwaahidi watakuja Geita mjini siku nyingine kufuatana na ratiba ya tume ya uchaguzi. Naamini nimekusogeza wewe na wenzio.
 
Back
Top Bottom