Yahyamohamed1970, Chato unayoijua wewe si Chato real.....kwanza ukumbuke mgombea uraisi mwenyekiti wake wa mtaa hatoki CCM. Hapo nimekuwekea nukta, halafu unajidanganya kwa sasa Richmond ndo habari ya mujini......kwa nani sasa? Kwetu Kandawe habari ya mujini ni elimu,afya, maji,umeme,na kodi kubwa kwa wafanyakazi. richmond sio dili hata kidogo kwa sababu ni sanaa tu,kama ingekuwa deal serikali ingeendelea kulipia hiyo mitambo? Kwa nini usituambie Escrow na EPA?
Nisaidie kitu kimoja, ni mwanzamziki gani alipanda jukwaani hapo Chato kuburudisha wananchi ili tujiridhishe kuwa watu walikuwa FIESTA.
Nisaidie kitu kimoja, ni mwanzamziki gani alipanda jukwaani hapo Chato kuburudisha wananchi ili tujiridhishe kuwa watu walikuwa FIESTA.