Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Alishawahi waambia watu wa chato bila yeye wasingejua kuna kitu kinaitwa transformer kwenye umeme,hiyo ck nilikuwepo pale chato akitamka maneno hayo.
 
attachment.php

attachment.php


Mgombea Urais kupitia Mwamvuli wa CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa, leo atakuwa Wilayani Chato mkoani Geita, mahali alipozaliwa Magufuli.

Walioko huko wanasema mji unazizima kwa ujio wa gwiji wa siasa za Tanzania na rais mtarajiwa, toka jaana vijana na Wazee mjadala ni ujio wa rais wa awamu ya tano Edward Lowassa.

 
Last edited by a moderator:
Magufuli kweli hamuwezi lowassa. Leo hakufikisha hata nusu ya watu hawa. Uwanja ulikuwa una mapengo mengi. Kama ameshindwa nyumbani Basi tena
 
Ila yetu ya ukawa ilikuwa na miembe tulifunika sana hadi ikaota ghafla
 
Japo ni kawaida nabii huwa hakubaliki nyumbani!, lakini mwacheni Mungu aitwe Mungu!.

Pasco
Baada ya Edward Lowassa kusifiwa na rais Magufuli kuwa ni Superman, namdurufu kidogo Lowassa kwa kujikumbusha niliwahi kusema nini kuhusu mtu huyu.
P
 
Back
Top Bottom