mbegubora29
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 513
- 338
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Askofu amekuja na vielelezo vya uraia wake ili vikaguliwe hapo kabla ya misa ya mazishi?Nasikia Askofu Niwemugizi anaongoza misa, je ni kweli?!
Bushiru kabaki na ofisi!!
Nimemuona na askofu Dr Shoo!
Huyu Askofu amekuja na vielelezo vya uraia wake ili vikaguliwe hapo kabla ya misa ya mazishi?
Kila unayemjua yupo ila Mbowe na Mbatia ndio sijawaona!Bushiru kabaki na ofisi!!
Ila yeye alikuwa mbabe ana ukwasi wa kushatoRais halisi wa Wanyonge kaondoka
Bashiru yupo hapa Chato!
Hao ni kesho usiwe una haraka kama warembo wa buzaPK na MU7 wamewasili? Au ndiyo wameingia mitini moja kwa moja?
Nahusiana vipi na Machame?Machame!
Uliuliza kuhusu Mnyika au umeshasahau?Nahusiana vipi na Machame?
Ndiyo nakuuliza kuwa mambo ya Machame yananihusu nini mimi?Uliuliza kuhusu Mnyika au umeshasahau?
Mjitahidi basi hiyo kesho mumpumzishe mapema ili maisha yaendelee. Maana kwa sasa hata sherehe tu, haturuhusiwi kufanya kwa sababu ya huo msiba.Hao ni kesho usiwe una haraka kama warembo wa buza
Ila yeye alikuwa mbabe ana ukwasi wa kushato
Wakati nyie wanyonge mko makapuku tu .
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Mbona unajishtukia meku?Ndiyo nakuuliza kuwa mambo ya Machame yananihusu nini mimi?
Nchi nzima imezizima kwa FURAHA kwa kuondoka huyu muuwaji.Mlimpenda mpaka Kumuita Mheshimiwa Mungu! Nabii, Yesu, sasa utaachaje kuambana na Mh. Mungu? Mimi ningelikuwa nam-perceive Jiwe kama mungu ningelimfuata hata kwa kujiua!
Kama siyo kuogopa watu wangelijimwaga ungeliona maajabu ya furahaNchi nzima imezizima kwa FURAHA kwa kuondoka huyu muuwaji.