Yaliyojiri: Chato wamuaga Hayati John P. J. Magufuli

Yaliyojiri: Chato wamuaga Hayati John P. J. Magufuli

@officialalikiba ni miongoni mwa wasanii wachache waliopata bahati ya kupanda jukwaani na kuimba wimbo wake wa maombolezo katika uwanja wa Magufuli wilayani Chato kwenye tukio la kuuaga mwili wa hayati Rais Magufuli.

 
Msibani Chato: Aliyeongoza familia kutoa heshima za mwisho ni mtoto wa kiume wa marehemu, Michael Magufuli.

Screen-Shot-2021-03-25-at-12.08.17.png


 
Mlimpenda mpaka Kumuita Mheshimiwa Mungu! Nabii, Yesu, sasa utaachaje kuambana na Mh. Mungu? Mimi ningelikuwa nam-perceive Jiwe kama mungu ningelimfuata hata kwa kujiua!
Nani alimfuata Yesu katika mitume wake? Zaidi ya Judah ambaye alikuwa msaliti wake?
 
Akiwa kwenye vazi la jadi la kihadzabe mzalendo huyu halisi amemsindikiza Hayati John Pombe Magufuli kwa kutuma ujumbe wa Uzalendo.
 
Katibu Mkuu Kiongozi yupo Chato? Sijamsikia kakangu yule.
Isije kuwa anapigania uhai maana ni hatari ,dunia haitaki majilabu na majigambo naskia kuna msiba hapo hapo ,haijulikani ni kweli ,CCM jifunzeni kuishi na watu kwa kufanya mambo ya kutenda haki epukeni zuluma,hapa si Ulaya ,tunamtegemea Mungu na kwake tunamshitakia halafu unakuta dua za wenye kuzulumiwa hazina pazia,mashee wetu wapo jela nao tunaomba aliewaweka jela arudishe namba haraka ,hapa si Ulaya.
 
Back
Top Bottom