Yaliyojiri harusi ya AY February 24,2018; Wasanii kibao akiwemo GK walialikwa

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
Baada ya staa mkongwe wa Bongofleva Ambwene Yesaya wengi tunamfahamu kamaAY kutoa mahari nchini Rwanda siku ya February 10,2018 ambapo ndio nyumbani kwa mchumba wake Remy na mastaa wengi kutoa pongezi nyingi kwake kwa kufanya hivyo.

Jana February 24,2018 hatimaye msanii huyo amefunga pingu za maisha na mpenzi wake wa miaka mingi Remy na hii imethibitishwa kupitia picha zinazosambaa katika mitandao ya kijamii.
 
Ngoja niwape story ya huyo dada mnaemuita mnyarwanda..
Remy alizaliwa Karagwe na kukulia Karagwe(omurushaka)shule ya msingi amesoma tegemeo karagwe baba yake ni Mwarabu alikua hapo Karagwe miaka mingi ila kwa sasa anakaa Mwanza!!mama yake remmy na huyo Mwarabu waliachana wakiwa na watoto wawili,remmy naako kadada mnakokaona kwenye picha wakiwa wote,mamayake remmy alikua ni mkimbizi wa vita hivyo yeye ni mnyarwanda ambaye ndugu zake karibia wote wanakaa huku bongo, Karagwe!!sehemu moja inaitwa kwenda..
Baada ya kuachana na mmewake mama rehema(remmy)alirudi Rwanda huko aliolewa na askari polis mabaya mpka Leo wanaishi wote,huyo askari anaaminiwa sana kwenye serikali ya kagame so yuko vizuri ndo maana watoto wa huyo mama akina rehema vyuo wamesoma China,
Rehema sio mnyarwanda ni Mwarabu wa Karagwe.
Mama remmy aliwapindikiza mbengu mbaya sana watoto,watoto wanamchukia sana babayao kama mnavyojua ma single maza walivyo na visilani!!
 
Jikei nae alikuwepo jamaniiiii.....
9a6a028a091bff6f8e92ae18b239ac3a.jpg
 
Kwaiyo
 
Back
Top Bottom