ngafu.fijo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,237
- 1,099
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwaiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwaiyo
Gk kaharibu picha kabisaJikei nae alikuwepo jamaniiiii.....![]()
Bangi mbaya kweli... sasa GK ndio kavaa nini hapo utadhani kaenda sokoni kununua viaziJikei nae alikuwepo jamaniiiii.....![]()
Shkamooni wabongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja niwape story ya huyo dada mnaemuita mnyarwanda..
Remy alizaliwa Karagwe na kukulia Karagwe(omurushaka)shule ya msingi amesoma tegemeo karagwe baba yake ni Mwarabu alikua hapo Karagwe miaka mingi ila kwa sasa anakaa Mwanza!!mama yake remmy na huyo Mwarabu waliachana wakiwa na watoto wawili,remmy naako kadada mnakokaona kwenye picha wakiwa wote,mamayake remmy alikua ni mkimbizi wa vita hivyo yeye ni mnyarwanda ambaye ndugu zake karibia wote wanakaa huku bongo, Karagwe!!sehemu moja inaitwa kwenda..
Baada ya kuachana na mmewake mama rehema(remmy)alirudi Rwanda huko aliolewa na askari polis mabaya mpka Leo wanaishi wote,huyo askari anaaminiwa sana kwenye serikali ya kagame so yuko vizuri ndo maana watoto wa huyo mama akina rehema vyuo wamesoma China,
Rehema sio mnyarwanda ni Mwarabu wa Karagwe.
Mama remmy aliwapindikiza mbengu mbaya sana watoto,watoto wanamchukia sana babayao kama mnavyojua ma single maza walivyo na visilani!!
upo?Vijana oeni, oeni acheni zinaa. Hakuna kumcha Mungu katika zinaa. Mwenyezi na atuongoze tuachane na tamaa za mwili na zinaa.
Salama Jabir katika ubora wakeJikei nae alikuwepo jamaniiiii.....![]()
unampenda ee?Salama Jabir katika ubora wake
Nimecheka baada ya kuiona Avatar yako 😡Kabisa
GK ni ndugu na AY. Ni maisha tu nadhani uwepo wake AY kafurahi nami pia nimefurahi. Usiache mbachao kwa msala upitao.Gk kaharibu picha kabisa
balaaunampenda ee?
Mbona unawadis hivyo single mothers? ?Wamekufanya nini??Ngoja niwape story ya huyo dada mnaemuita mnyarwanda..
Remy alizaliwa Karagwe na kukulia Karagwe(omurushaka)shule ya msingi amesoma tegemeo karagwe baba yake ni Mwarabu alikua hapo Karagwe miaka mingi ila kwa sasa anakaa Mwanza!!mama yake remmy na huyo Mwarabu waliachana wakiwa na watoto wawili,remmy naako kadada mnakokaona kwenye picha wakiwa wote,mamayake remmy alikua ni mkimbizi wa vita hivyo yeye ni mnyarwanda ambaye ndugu zake karibia wote wanakaa huku bongo, Karagwe!!sehemu moja inaitwa kwenda..
Baada ya kuachana na mmewake mama rehema(remmy)alirudi Rwanda huko aliolewa na askari polis mabaya mpka Leo wanaishi wote,huyo askari anaaminiwa sana kwenye serikali ya kagame so yuko vizuri ndo maana watoto wa huyo mama akina rehema vyuo wamesoma China,
Rehema sio mnyarwanda ni Mwarabu wa Karagwe.
Mama remmy aliwapindikiza mbengu mbaya sana watoto,watoto wanamchukia sana babayao kama mnavyojua ma single maza walivyo na visilani!!
Kumbe wana mtotooo?!Wameishi wote miaka 10 na mtoto wamezaa ndoa inafungwa au inabarikiwa hapo
babaqe....wabongo mshamchimba,soon mtapeleka file kwa mangeNgoja niwape story ya huyo dada mnaemuita mnyarwanda..
Remy alizaliwa Karagwe na kukulia Karagwe(omurushaka)shule ya msingi amesoma tegemeo karagwe baba yake ni Mwarabu alikua hapo Karagwe miaka mingi ila kwa sasa anakaa Mwanza!!mama yake remmy na huyo Mwarabu waliachana wakiwa na watoto wawili,remmy naako kadada mnakokaona kwenye picha wakiwa wote,mamayake remmy alikua ni mkimbizi wa vita hivyo yeye ni mnyarwanda ambaye ndugu zake karibia wote wanakaa huku bongo, Karagwe!!sehemu moja inaitwa kwenda..
Baada ya kuachana na mmewake mama rehema(remmy)alirudi Rwanda huko aliolewa na askari polis mabaya mpka Leo wanaishi wote,huyo askari anaaminiwa sana kwenye serikali ya kagame so yuko vizuri ndo maana watoto wa huyo mama akina rehema vyuo wamesoma China,
Rehema sio mnyarwanda ni Mwarabu wa Karagwe.
Mama remmy aliwapindikiza mbengu mbaya sana watoto,watoto wanamchukia sana babayao kama mnavyojua ma single maza walivyo na visilani!!
[emoji106]GK ni ndugu na AY. Ni maisha tu nadhani uwepo wake AY kafurahi nami pia nimefurahi. Usiache mbachao kwa msala upitao.
Dah!!!kwa Mange lilishafika kitambo.Chezea Mange.babaqe....wabongo mshamchimba,soon mtapeleka file kwa mange