Yaliyojiri harusi ya AY February 24,2018; Wasanii kibao akiwemo GK walialikwa

Yaliyojiri harusi ya AY February 24,2018; Wasanii kibao akiwemo GK walialikwa

Ngoja niwape story ya huyo dada mnaemuita mnyarwanda..
Remy alizaliwa Karagwe na kukulia Karagwe(omurushaka)shule ya msingi amesoma tegemeo karagwe baba yake ni Mwarabu alikua hapo Karagwe miaka mingi ila kwa sasa anakaa Mwanza!!mama yake remmy na huyo Mwarabu waliachana wakiwa na watoto wawili,remmy naako kadada mnakokaona kwenye picha wakiwa wote,mamayake remmy alikua ni mkimbizi wa vita hivyo yeye ni mnyarwanda ambaye ndugu zake karibia wote wanakaa huku bongo, Karagwe!!sehemu moja inaitwa kwenda..
Baada ya kuachana na mmewake mama rehema(remmy)alirudi Rwanda huko aliolewa na askari polis mabaya mpka Leo wanaishi wote,huyo askari anaaminiwa sana kwenye serikali ya kagame so yuko vizuri ndo maana watoto wa huyo mama akina rehema vyuo wamesoma China,
Rehema sio mnyarwanda ni Mwarabu wa Karagwe.
Mama remmy aliwapindikiza mbengu mbaya sana watoto,watoto wanamchukia sana babayao kama mnavyojua ma single maza walivyo na visilani!!
To a mwarabu wa karagwe ...weka mkaragwe AMA mnyaruwanda easy...hakuna mwarabu wa tanga wala Pemba

Kama mama ametunza amehangaika mda woteee mahari ijee kwababayake kama nani fankuru manyoya mababawoote wanaotesa wakezao NA kutaka neema Sikh zao za mwisho

Mwisho nampongeza mpwaa kuondokana NA ukapera NA kuamia kwenye familia ya kulala usiku bila nguo...mola awatangulie awape watoto wenye furaha NA akili
 
ndoa za wasanii mmh

Nene kemetokea?

YESSAYA.jpg
 
Mkuu haya mambo yoyote yanaweza mtokea...
Ila kwa AY dah,pole yake maana jamaa ni mtu poa sana
Na kama waliamua kumwagana poa tu,Acha maisha yaendele

Ova

Kabisa AY cool sana inawezekana Demu ndio kazingua kisha AY akam_dump sasa Mnyarwanda kaona kujifariji ngoja ampostie NJEMBA.
 
Back
Top Bottom