Yaliyojiri harusi ya AY February 24,2018; Wasanii kibao akiwemo GK walialikwa

Ngoja niwape story ya huyo dada mnaemuita mnyarwanda..
Remy alizaliwa Karagwe na kukulia Karagwe(omurushaka)shule ya msingi amesoma tegemeo karagwe baba yake ni Mwarabu alikua hapo Karagwe miaka mingi ila kwa sasa anakaa Mwanza!!mama yake remmy na huyo Mwarabu waliachana wakiwa na watoto wawili,remmy naako kadada mnakokaona kwenye picha wakiwa wote,mamayake remmy alikua ni mkimbizi wa vita hivyo yeye ni mnyarwanda ambaye ndugu zake karibia wote wanakaa huku bongo, Karagwe!!sehemu moja inaitwa kwenda..
Baada ya kuachana na mmewake mama rehema(remmy)alirudi Rwanda huko aliolewa na askari polis mabaya mpka Leo wanaishi wote,huyo askari anaaminiwa sana kwenye serikali ya kagame so yuko vizuri ndo maana watoto wa huyo mama akina rehema vyuo wamesoma China,
Rehema sio mnyarwanda ni Mwarabu wa Karagwe.
Mama remmy aliwapindikiza mbengu mbaya sana watoto,watoto wanamchukia sana babayao kama mnavyojua ma single maza walivyo na visilani!!

Umeeleweka vzr ila umesahau kumpa mange kimambi credits zake maanamndiye mwenye andiko hilih alilitoa muda sana.
 
Jikei nae alikuwepo jamaniiiii.....
9a6a028a091bff6f8e92ae18b239ac3a.jpg

Mh! hata kama sio harusi yako ila GK kweli huna hata kasuruali ka kitambaa!??
 
Bang

Tatizo Bangee za mchana ,anaidharirisha harusi ya mwenzake kwa kwenda na pajama harusini,ingekuwa harusi ya ndugu yangua asingeingia ukumbini hata kama ana kadi,hii ni dharau kwa bwana harusi
 
Ngoja niwape story ya huyo dada mnaemuita mnyarwanda..
Remy alizaliwa Karagwe na kukulia Karagwe(omurushaka)shule ya msingi amesoma tegemeo karagwe baba yake ni Mwarabu alikua hapo Karagwe miaka mingi ila kwa sasa anakaa Mwanza!!mama yake remmy na huyo Mwarabu waliachana wakiwa na watoto wawili,remmy naako kadada mnakokaona kwenye picha wakiwa wote,mamayake remmy alikua ni mkimbizi wa vita hivyo yeye ni mnyarwanda ambaye ndugu zake karibia wote wanakaa huku bongo, Karagwe!!sehemu moja inaitwa kwenda..
Baada ya kuachana na mmewake mama rehema(remmy)alirudi Rwanda huko aliolewa na askari polis mabaya mpka Leo wanaishi wote,huyo askari anaaminiwa sana kwenye serikali ya kagame so yuko vizuri ndo maana watoto wa huyo mama akina rehema vyuo wamesoma China,
Rehema sio mnyarwanda ni Mwarabu wa Karagwe.
Mama remmy aliwapindikiza mbengu mbaya sana watoto,watoto wanamchukia sana babayao kama mnavyojua ma single maza walivyo na visilani!!
Yani ukanda wa Ngara,Kagera na Kigoma mjini,Kasulu, Kibondo, Kigoma umejaa wakimbizo wengi sana mmoja wao ni huyu Gentamycine na kundi lake wapo wengi sana halafu kutwa kujidai Watanzania nakereka mpaka basi...
 
Huyo GK kaamuwa kuwa tofauti. Kwanza harusi ni ya msanii mwenzake mnashangaa nini? Halafu yeye mwenyewe jina lake la kiusanii ni “Crazy”, halafu akifanya crazy things mnashangaa! Watu wengine bhana! Sasa mmebakia kuipa bangi jina baya kisa narrow mind! Stupid! Mnalalamika kama vile harusi ilikuwa ya mtoto wa shangaziyenu!
 
Sawa mushi,tunashukuru kwa kichambo
 
Back
Top Bottom