Yaliyojiri harusi ya AY February 24,2018; Wasanii kibao akiwemo GK walialikwa

Mwingine huyu muuza samaki ila watu hawamuoni, wamemuona GK tu View attachment 701633 .
Muuza samaki..fid kwaya amefanya vema.. Hakuwa mbali official dress code.. Wasukuma wanajifunza sio kama CRAZY gk.. Sema sasa Hugo mmasai wa kukaribishwa yupo kama watermelon lililoanza kuoza.. Rangi rangi nyingi kama mother nature..
 
Ngoja niwape story ya huyo dada mnaemuita mnyarwanda..
Remy alizaliwa Karagwe na kukulia Karagwe(omurushaka)shule ya msingi amesoma tegemeo karagwe baba yake ni Mwarabu alikua hapo Karagwe miaka mingi ila kwa sasa anakaa Mwanza!!mama yake remmy na huyo Mwarabu waliachana wakiwa na watoto wawili,remmy naako kadada mnakokaona kwenye picha wakiwa wote,mamayake remmy alikua ni mkimbizi wa vita hivyo yeye ni mnyarwanda ambaye ndugu zake karibia wote wanakaa huku bongo, Karagwe!!sehemu moja inaitwa kwenda..
Baada ya kuachana na mmewake mama rehema(remmy)alirudi Rwanda huko aliolewa na askari polis mabaya mpka Leo wanaishi wote,huyo askari anaaminiwa sana kwenye serikali ya kagame so yuko vizuri ndo maana watoto wa huyo mama akina rehema vyuo wamesoma China,
Rehema sio mnyarwanda ni Mwarabu wa Karagwe.
Mama remmy aliwapindikiza mbengu mbaya sana watoto,watoto wanamchukia sana babayao kama mnavyojua ma single maza walivyo na visilani!!
Ahsante kwa kutuza ingawa story yako haijulikani malengo yake
 
Yani ukanda wa Ngara,Kagera na Kigoma mjini,Kasulu, Kibondo, Kigoma umejaa wakimbizo wengi sana mmoja wao ni huyu Gentamycine na kundi lake wapo wengi sana halafu kutwa kujidai Watanzania nakereka mpaka basi...
Unakereka seriously!!! Kanywe sumu usikereke sasa au kapande daladala la hewani ili upigwe risasi stupid idiot ubaguzi tu pambana na hali yako
 
Ngoja niwape story ya huyo dada mnaemuita mnyarwanda..
Remy alizaliwa Karagwe na kukulia Karagwe(omurushaka)shule ya msingi amesoma tegemeo karagwe baba yake ni Mwarabu alikua hapo Karagwe miaka mingi ila kwa sasa anakaa Mwanza!!mama yake remmy na huyo Mwarabu waliachana wakiwa na watoto wawili,remmy naako kadada mnakokaona kwenye picha wakiwa wote,mamayake remmy alikua ni mkimbizi wa vita hivyo yeye ni mnyarwanda ambaye ndugu zake karibia wote wanakaa huku bongo, Karagwe!!sehemu moja inaitwa kwenda..
Baada ya kuachana na mmewake mama rehema(remmy)alirudi Rwanda huko aliolewa na askari polis mabaya mpka Leo wanaishi wote,huyo askari anaaminiwa sana kwenye serikali ya kagame so yuko vizuri ndo maana watoto wa huyo mama akina rehema vyuo wamesoma China,
Rehema sio mnyarwanda ni Mwarabu wa Karagwe.
Mama remmy aliwapindikiza mbengu mbaya sana watoto,watoto wanamchukia sana babayao kama mnavyojua ma single maza walivyo na visilani!!
haituhusu hiyo, tunachojua AY kaoa mwanamke wa Rwanda hayo mengine ni chuki binafsi
 
Mh! hata kama sio harusi yako ila GK kweli huna hata kasuruali ka kitambaa!??
GK bado ana usela mavi yani bado ana mawazo ya kizamani ya ukamanda kamanda ndiyo maana hata akihojiwa anaongelea ukamanda tu jamaa anaishi zama za zamani mpaka sasa.
Yani anachekesha
 
Tatizo ndoa za vijana siku hizi,unakuta utamu wote washaumaliza
 
Ngoja niwape story ya huyo dada mnaemuita mnyarwanda..
Remy alizaliwa Karagwe na kukulia Karagwe(omurushaka)shule ya msingi amesoma tegemeo karagwe baba yake ni Mwarabu alikua hapo Karagwe miaka mingi ila kwa sasa anakaa Mwanza!!mama yake remmy na huyo Mwarabu waliachana wakiwa na watoto wawili,remmy naako kadada mnakokaona kwenye picha wakiwa wote,mamayake remmy alikua ni mkimbizi wa vita hivyo yeye ni mnyarwanda ambaye ndugu zake karibia wote wanakaa huku bongo, Karagwe!!sehemu moja inaitwa kwenda..
Baada ya kuachana na mmewake mama rehema(remmy)alirudi Rwanda huko aliolewa na askari polis mabaya mpka Leo wanaishi wote,huyo askari anaaminiwa sana kwenye serikali ya kagame so yuko vizuri ndo maana watoto wa huyo mama akina rehema vyuo wamesoma China,
Rehema sio mnyarwanda ni Mwarabu wa Karagwe.
Mama remmy aliwapindikiza mbengu mbaya sana watoto,watoto wanamchukia sana babayao kama mnavyojua ma single maza walivyo na visilani!!

Tupe chanzo cha habari yako.
 
Yani ukanda wa Ngara,Kagera na Kigoma mjini,Kasulu, Kibondo, Kigoma umejaa wakimbizo wengi sana mmoja wao ni huyu Gentamycine na kundi lake wapo wengi sana halafu kutwa kujidai Watanzania nakereka mpaka basi...
Cc
GENTAMYCINE
 
Back
Top Bottom