Yaliyojiri harusi ya AY February 24,2018; Wasanii kibao akiwemo GK walialikwa

Sijawahi muona physically pasipo kofia, kofia ni sehemu ya dressing style yake, kama bwana mdogo Millardayo naye mostly huwa na kofia, but sometimes structure ya kichwa huwafanya wasipende kujiexpose

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Sawa lakini G.K kazidi, hata kama bichwa baya wajiachie ili tuwazoee, ujue ukificha kitu ndo watu watataka kujua kwa nini unaficha
 
Ngoja niwape story ya huyo dada mnaemuita mnyarwanda..
Remy alizaliwa Karagwe na kukulia Karagwe(omurushaka)shule ya msingi amesoma tegemeo karagwe baba yake ni Mwarabu alikua hapo Karagwe miaka mingi ila kwa sasa anakaa Mwanza!!mama yake remmy na huyo Mwarabu waliachana wakiwa na watoto wawili,remmy naako kadada mnakokaona kwenye picha wakiwa wote,mamayake remmy alikua ni mkimbizi wa vita hivyo yeye ni mnyarwanda ambaye ndugu zake karibia wote wanakaa huku bongo, Karagwe!!sehemu moja inaitwa kwenda..
Baada ya kuachana na mmewake mama rehema(remmy)alirudi Rwanda huko aliolewa na askari polis mabaya mpka Leo wanaishi wote,huyo askari anaaminiwa sana kwenye serikali ya kagame so yuko vizuri ndo maana watoto wa huyo mama akina rehema vyuo wamesoma China,
Rehema sio mnyarwanda ni Mwarabu wa Karagwe.
Mama remmy aliwapindikiza mbengu mbaya sana watoto,watoto wanamchukia sana babayao kama mnavyojua ma single maza walivyo na visilani!!
Kama baba ni dizaini ya JPM acha amchukie tu.
 
Jikei nae alikuwepo jamaniiiii.....
9a6a028a091bff6f8e92ae18b239ac3a.jpg
Jikei kavaa manini haya jamaniiii
 
Huyu AY nadra sana kumsikia kwenye masuala ya Zinaa/ngono kama akina Diamond.Hongera sana kaka Yesaya kwa kupata mke.

Hua anapiga nyatu nyatu... Hivi unaweza sema Jeikei enzi zake hakua na makali kama ya Mzee Kipara?? Sema Jeikei yeye ni nyatu nyatu sana....
 
Haa haa discipline muhimu bwana katika jamii.Kuna wasanii yaani header zao ziko hapo kwenye NENO kila siku.Tunatak Kusikia walau mara moja moja Mawazo Ujenzi asaidia watoto yatima au apeleka msaada kwa wahitaji mahospitalini nk(ni.mfano).

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Sure kaka.... Discipline ndo mpango mzima
 
Ngoja niwape story ya huyo dada mnaemuita mnyarwanda..
Remy alizaliwa Karagwe na kukulia Karagwe(omurushaka)shule ya msingi amesoma tegemeo karagwe baba yake ni Mwarabu alikua hapo Karagwe miaka mingi ila kwa sasa anakaa Mwanza!!mama yake remmy na huyo Mwarabu waliachana wakiwa na watoto wawili,remmy naako kadada mnakokaona kwenye picha wakiwa wote,mamayake remmy alikua ni mkimbizi wa vita hivyo yeye ni mnyarwanda ambaye ndugu zake karibia wote wanakaa huku bongo, Karagwe!!sehemu moja inaitwa kwenda..
Baada ya kuachana na mmewake mama rehema(remmy)alirudi Rwanda huko aliolewa na askari polis mabaya mpka Leo wanaishi wote,huyo askari anaaminiwa sana kwenye serikali ya kagame so yuko vizuri ndo maana watoto wa huyo mama akina rehema vyuo wamesoma China,
Rehema sio mnyarwanda ni Mwarabu wa Karagwe.
Mama remmy aliwapindikiza mbengu mbaya sana watoto,watoto wanamchukia sana babayao kama mnavyojua ma single maza walivyo na visilani!!
hiyo story ni kwa hisani ya Da mange
 
Hayatuhusu! !
 
GK ni ndugu na AY. Ni maisha tu nadhani uwepo wake AY kafurahi nami pia nimefurahi. Usiache mbachao kwa msala upitao.
Sio ndugu banaa sema ni mshikaji wake wa kitambo coz walikuwaga kwenye kundi moja LA muziki LA "east coast team"
 
Back
Top Bottom