Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

Huo Ndio ukweli

CAG sio muhimili wa serkali ila ni mfanyakazi wa serkali

Huyu CAG Mstaafu aliingizwa kichwa na wanasiasa wachumia tumbo akajiona Ndio mwamba

Akapumbumzike alee wajukuu

Hili jambo hata Mimi nimeanza kuliwaza na kuliangalia kwa marefu na mapana yake naona nikaanza Kuchanganyikiwa nalo tu.
 
Huyu wa kwenu ndiyo kichaa na amekwisha kiri mwenyewe mwaka juzi akiwa Mara. Alisema amemchagua Luaga Mpina kuwa Waziri wa mifumo kwa vile Luaga Mpina ni kichaa kichaa kama yeye Jiwe.

Halafu usiseme uwongo, JK aliacha Serikali ikiwa na hela. Pili huyu anauwa uchumi wala hajengi uchumi
 
Mkaguzi na mdhibiti mkuu. Neno mdhibiti linatumikaje tumikaje yaani. Anamdhibiti nini? Anadhibiti nani? Mipaka ya kudhibiti ni ipi?

Maswali mengi, muda mchache.

Sasa hapa unamuuliza nani Ndugu? Umeambiwa Mimi ndiyo Assad?
 
Nanukuu 'Nataka nikwambie mapema katiba na sheria inazungumza, Unaweza kukaa miaka 5 ya mkataba ila unaweza kukaa hata mwaka mmoja kwa sababu taratibu za kukutoa zipo na zinafanywa na Rais'.
'Duniani humu huwezi kupewa mamlaka ya kuteua halafu usipewe mamlaka ya kutengua ukishindwa ivyo hufai kuwa rais na hufai kuwa kiongozi'

Kwa kauli hii maana yake Rais akitaka Jaji Mkuu, CAG na Spika wa bunge ambao hana mamlaka kisheria kuwaondoa yeye anaweza kuvunja sheria na katiba muda wowote na kuwaondoa?
 
Kosa ni kutukutumikia siasa au. Siasa na uhalisia Afrika uhusiano wake ni kama moshi na pua.
Mkaguzi na mdhibiti mkuu. Neno mdhibiti linatumikaje tumikaje yaani. Anamdhibiti nini? Anadhibiti nani? Mipaka ya kudhibiti ni ipi?

Maswali mengi, muda mchache.
 
Umejitahidi kufafanua lakini huyo Magufuli keshaamua hivyo, ingewezekana mtu kuombewa mauti ningewashauri mumuombee lakini ndio hivyo tena.
Tunamuombea maisha ili aone raisi ajaye jinsi atavyokuwa na moyo wa huruma, apendaye demkrasia, asiyekubali watu waatekwe tu kama akina Mo na watu alafu awaogope watekaji, asiyekubali kuweka watu wa kabola yakw kla idara na mambo kama hayo.
 
Mpina , Kanga Lugola na wenzake wakiwa kamati ya Bunge walikamatwa kwa rushwa, ikafunikwa kwakuwa ni nzi wa kijani
 
Rais anasema hawezi kupewa mamlaka ya kuteua akakosa mamlaka ya kutengua. Tumwulize anaweza kutengua uteuzi wa jaji mkuu ama jaji yoyote wa mahakama kuu?
Phd ya mlimani inamtuma hivyo,
 
Tunamuombea maisha ili aone raisi ajaye jinsi atavyokuwa na moyo wa huruma, apendaye demkrasia, asiyekubali watu waatekwe tu kama akina Mo na watu alafu awaogope watekaji, asiyekubali kuweka watu wa kabola yakw kla idara na mambo kama hayo.
Ajaye ni yupi zaidi yake yeye, umesahau wanasema KATIBA inamtaka atawale miaka 10?!
Wao katiba ina wa favour wao tu, kwa wengine lile ni kama gazeti la uhuru halina thamani.
 
Ajaye ni yupi zaidi yake yeye, umesahau wanasema KATIBA inamtaka atawale miaka 10?!
Wao katiba ina wa favour wao tu, kwa wengine lile ni kama gazeti la uhuru halina thamani.
ataondoka 2035, atakuja mwengine, at that time yeye atakuwa THE HAGUE
 
What is "kudhibiti"? Na "Kudhibiti" nini?
For whose interest???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Assad alilewa madaraka na kf 144 Cha katiba kikamvimbisha kichwa hatimaye ameaga ofisi kwa kusema hakujua Kama alitengeneza uadui.mzee wangu pumzika hizi kazi zipo taaluma haizeeki kalee wajukuu acha wengine wafanye kazi mda wako umeisha
 
Umevurugwa wewe kisa kuendekeza njaa zako
Huo Ndio ukweli

CAG sio muhimili wa serkali ila ni mfanyakazi wa serkali

Huyu CAG Mstaafu aliingizwa kichwa na wanasiasa wachumia tumbo akajiona Ndio mwamba

Akapumbumzike alee wajukuu
 
Lipo hitaji la kuboresha Katiba yetu.Kupunguza nguvu muhimili wa executive.
Hilo ndiyo jibu sahihi lkn bahati mbaya hawataki kulisikia hilo neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…