Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kampeni ya Dkt. Magufuli kuwania Urais 2020-2025 mikoani Iringa na Njombe (Sept 29, 2020)

It's true JPM anajaza mikutano lakini sio Iringa bwashee, kama Tundu Lissu hakustishika na mikutano ya JPM pale Tabora, itamtisha ya Iringa ?. Iringa ni mikutano ya kawaida mno, kuna picha kapost Ngowi kule Twitter, kweli utasema itamtisha vile!
 
Leo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lisu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.

Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya JPM aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili JPM. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya MTITI wa jana TUNDU amechanganyikiwa.

Wakati TUNDU akitafuta njia ya kurudi tena IRINGA, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.

Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inadhidi kumchanganya Tundu.

#JPM2020
Kumbe ndio maana JIWE alikuwa amepunzika kwa kuogopa spana za Lisu? Asante kwa kuropoka tumejua sasa. Kwa ufupi Lissu hana mpinzani wa kumpa mawazo kutoka kwa wagombea woote mwaka huu.
 
Acha wendawazimu.a
Kwa idadi ya watu wanaoenda mkutano wa lisu angekua na wanamapambio wa kizazi kaipya viwanya vingepasuka

Lisu hana cent ya kubeba watu kwa malori, hawezi kuwaambia wanafunzi,walimu na wafanyakazi waache mambo yao wahudhurie mkutano.hana pesa za kusafiri na msafara wa watu zaidi ya 500 kama jpm
Ona
Leo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lisu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.

Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya JPM aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili JPM. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya MTITI wa jana TUNDU amechanganyikiwa.

Wakati TUNDU akitafuta njia ya kurudi tena IRINGA, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.

Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inadhidi kumchanganya Tundu.

#JPM2020
 
Leo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lisu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.

Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya JPM aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili JPM. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya MTITI wa jana TUNDU amechanganyikiwa.

Wakati TUNDU akitafuta njia ya kurudi tena IRINGA, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.

Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inadhidi kumchanganya Tundu.

#JPM2020
DC wa wilaya ya Hai ana utoto Sana.
 
Kumbe ndio maana JIWE alikuwa amepunzika kwa kuogopa spana za Lisu? Asante kwa kuropoka tumejua sasa. Kwa ufupi Lissu hana mpinzani wa kumpa mawazo kutoka kwa wagombea woote mwaka huu.
Ameamua kutumia watoto na kwavalisha kijani na njano
IMG_20200929_010104.jpg
IMG_20200929_010621.jpg
 
*SAMBAZA UWEZAVYO ILI WANANCHI WENGI ZAIDI WA ROMBO WAPATE UJUMBE HUU**

*Ziara ya Mhe. Tundu Lissu Rombo**

Itakuwa kesho kuanzia saa 6 kamili mchana ambapo atafanya mkutano mkubwa sana Tarakea katika viwanja vya stendi ya mabasi Tarakea mjini, akitokea Jimbo la Siha kupitia west Kilimanjaro, kabla ya mkutano wake wa Tarakea Tundu Lissu atasalimia wakazi wa Kamwanga, Endonet na Rongai watakaokuwa eneo la Rongai, na baada ya kumaliza mkutano wa Tarakea akiwa njiani kuelekea Moshi kumalizia mkutano wake wa mwisho kwa siku ya kesho Moshi mjini, njiani atawasalimia wakazi wa maeneo yafuatayo...

Tarafa ya Mashati atawasalimia wale watakaokuwa wamesimama eneo la Mashati soko la zamani, hususan wale watakaosgindwa kuhudhuria mkutano mkubwa wa Tarakea.

Tarafa ya Mkuu atawasalimia wananchi eneo la kiboro.

Tarafa ya Mengwe atasalimia wananchi eneo la Mamsera.

Ninatumia fursa hii adhimu kuwaomba wananchi wote bila kujali itikadi zao za kisiasa kujitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA katika mkutano wake huo utakaofanyika Tarakea, lakini pia kwa wale watakaoshindwa kufika Tarakea, tujumuike katika maeneo yaliyotajwa hapo juu ambapo atafanya mikutano midogo midogo

*HII SIO YA KUKOSA**

*BERNADINE NGOWI**
*M/kiti CHADEMA**
*ROMBO**
29/09/2020

Sasa sjui siha ni wapi utajaza mwenyewe
Leo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lisu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.

Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya JPM aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili JPM. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya MTITI wa jana TUNDU amechanganyikiwa.

Wakati TUNDU akitafuta njia ya kurudi tena IRINGA, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.

Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inadhidi kumchanganya Tundu.

#JPM2020
 
Jiandae kukabidhi kata yako.
Ajira yako inakoma Novemba 2020.
28/10 /2020 tuna jambo letu
 
Leo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lisu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.

Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya JPM aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili JPM. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya MTITI wa jana TUNDU amechanganyikiwa.

Wakati TUNDU akitafuta njia ya kurudi tena IRINGA, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.

Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inadhidi kumchanganya Tundu.

#JPM2020
Kama mnaanza kufananisha Lissu na Dkt. Magufuli Basi twabidi kutoa shukurani zetu za dhati kwa Lissu kwa UTHUBUTU kabla ya kampeni tulimuona Kama MUNGU ambae hawezi tokea wa kushindana nae
HONGERA TL
HAKIKA WW NI SHUJAA
# NI YEYE
 
Mambo ya Iringa baada ya show kuisha hao....
 
Attachments

  • VID-20200929-WA0046.mp4
    8 MB
Leo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lisu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.

Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya JPM aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili JPM. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya MTITI wa jana TUNDU amechanganyikiwa.

Wakati TUNDU akitafuta njia ya kurudi tena IRINGA, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.

Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inadhidi kumchanganya Tundu.

#JPM2020
Na hii utalipwa elfu7?
 
Muongo wewe Punguza porojo
Tundu Lissu anawaadabisha kunako

Punguza Umbea bro!
Ukweli unaujua umekuja kujaza server ya wenyewe
 
Leo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lisu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.

Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya JPM aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili JPM. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya MTITI wa jana TUNDU amechanganyikiwa.

Wakati TUNDU akitafuta njia ya kurudi tena IRINGA, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.

Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inadhidi kumchanganya Tundu.

#JPM2020
Hizi propaganda za kijinga hazisaidii endeleeni na matamasha yenu yakiongozwa na magufuli.
 
Mnajaza server za JF kwa upuuzi. Magufuli aliacha kufanya kampeni kwa juma zima alikuwa na hofu na mtu yeyote? Propaganda za kitoto. Na wewe sijui una watu nyumbani wanakuita baba!
Leo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lisu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.

Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya JPM aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili JPM. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya MTITI wa jana TUNDU amechanganyikiwa.

Wakati TUNDU akitafuta njia ya kurudi tena IRINGA, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.

Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inadhidi kumchanganya Tundu.

#JPM2020
 
Leo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lisu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.

Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya JPM aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili JPM. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya mtiti wa jana TUNDU amechanganyikiwa.

Wakati Tundu akitafuta njia ya kurudi tena Iringa, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.

Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inadhidi kumchanganya Tundu.

#JPM2020
Wazazi wako wana hasara sana mkuu! Heri hata ungelikua mchanga ungelitumika kujengelea daraja watu wavuke kuliko kua hapa unaandika ushuzi tu...
 
Ccm bila kusomba watu kwa malori ,kulazimisha watumishi na kuleta wanafunzi kwenye campaigns ni sawa na maiti inayotembea
 
Back
Top Bottom