Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kampeni ya Dkt. Magufuli kuwania Urais 2020-2025 mikoani Iringa na Njombe (Sept 29, 2020)

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kampeni ya Dkt. Magufuli kuwania Urais 2020-2025 mikoani Iringa na Njombe (Sept 29, 2020)

Kweli CCM imebuma haipendwi tena..huu Uzi umewekwa toka SAA sita mpaka SAA hii mi ni mchangiaji Wa nne.
Ccm inapendwa sana
2020-09-18%2012%3A59%3A14_WhatsApp%20Image%202020-09-18%20at%2012.44.45.jpg
 
Huna sera kaa kimya, uliona wapi ulaya inajengwa kwa 5 yrs!? Labda ulaya ya tabora.
Mbona unatumia nguvu nyingi kujibu swali hadi unajamba?

Hayo mambo ya kwamba nchi yetu itakuwa kama Ulaya baada ya miaka 5 aliyasema Jiwe mwenyewe 2015. Sasa swali la uliona wapi Ulaya inajengwa kwa 5 yrs kamwuliza huyo JPM wako afafanue.
 
Back
Top Bottom