ndabila wa ileje vip ndugu...Leo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lissu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.
Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya Dkt. Magufuli aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili Dkt. Magufuli. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya mtiti wa jana TUNDU amechanganyikiwa.
Wakati Tundu akitafuta njia ya kurudi tena Iringa, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.
Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inazidi kumchanganya Tundu.
#JPM2020
Maisha yalivyo magumu hata nauli sidhani Kama wanayo.Mambo ya Iringa baada ya show kuisha hao....
Waelezee ukweli JPM anazidi kupasua anga balaaLeo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lissu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.
Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya Dkt. Magufuli aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili Dkt. Magufuli. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya mtiti wa jana TUNDU amechanganyikiwa.
Wakati Tundu akitafuta njia ya kurudi tena Iringa, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.
Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inazidi kumchanganya Tundu.
#JPM2020
Magufuli asitufanye Watanzania kuwa wajinga kama hao wanachama wa CCM kwani waliokuwa wanakwenda kutibiwa nchi za Nje walikuwa wananchi wanyonge au vigogo huko Chamani na Serikalini kama akina Ndugai aliyekwenda India na familia na wasaidizi wawili na kukaa Hotel ya Nyota 5 miezi 5. Magufuli Rais na Waziri wake wa Afya walikubali kulipa gharama hizo na zile kubwa za matibabu kwa kukaa nje ya Hospital na madaktari kwenda kumhudumia kumbe angeweza kupanga nyumba karibu na Hospital kama alivyofanya Nyerere London na Lissu Ubelgiji. Kama mtu yeyote angefuatilia matibabu ya Ndugai India angekuta Wahindi bado wanashangaa mgonjwa toka nchi masikini akakaa Hotelini miezi 5 kumbe angeweza kupata hata chumba cha VIP Hospitalini ikawa nafuu kwa Tanzania mlipaji. Mabilioni Serikali iliyolipa ndo umeleta urafiki wa kishetani (unholy alliance) kati ya Magufuli na Ndugai na kufanya Bunge kuwa kama Idara ya Serikali ya Magufuli ili kufunika kombe mwanaharamu apite.Leo mgembea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi yuko mkoani Njombe na kwa sasa anaongelea afya na Bima ya Afya, ameeleza kuwa walianza na vituo vya afya na kinachofata ni bima ya afya, pia ameelezea walishaanza na wamejitahidi kutoa huduma za bure kwa wazee, watoto wenye umri chini ya miaka mitano na wagonjwa wenye magonjwa makubwa wanahudumiwa na serikali.
Magufuli amesema katika kipindi cha miaka mitano, wagonjwa kusafirishwa nje wamepungua kwani hata operesheni za moyo zinafanyika Dar es Salaam, operesheni za kubadilisha figo zinafanyika Dodoma na hospitali ya Njombe ikikamilika pia hayo yatafanyika.
Endelea kuwa nami kukujuza yanayojiri Njombe
===========
MAGUFULI: Ndio maana tumekuja tena kuomba kura kwa sababu tunafahamu mikakati, tunafahamu mbinu lakini pesa pia zipo. Hatuitaji fedha za kukopa nje, fedha ziko hapahapa, zilikuwa zimekaliwa na mafisadi, mafisadi tumewabana zinaenda kwa wananchi.
===
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema sababu ya kugombea Urais kwa Muhula wa Pili ni mipango mizuri waliyonayo kwenye Ilani yao ya Uchaguzi
Kati ya mipango hiyo, ametaja pia kujenga Uwanja wa Ndege Mkoani Njombe, kwa kuwa watu wa Njombe ni wakulima wazuri. Amewatania kwa kusema, ndege pia zitatumika kusafirisha Ulanzi kuwafikia watu wa Dar
Pia, amesema atakamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Njombe na kuwezesha watanzania wote kuwa na Bima ya Afya na kabla ya kuwa na Bima ya Afya, kwanza wamepanga kujenga Vituo vya Afya, Hospitali na kuongeza bajeti ya kununua madawa
Ameyasema hayo alipokuwa Viwanja vya Polisi, Makambako Mkoani Njombe katika mkutano wa kampeni
Safi sana kamanda, umesomeka!*SAMBAZA UWEZAVYO ILI WANANCHI WENGI ZAIDI WA ROMBO WAPATE UJUMBE HUU**
*Ziara ya Mhe. Tundu Lissu Rombo**
Itakuwa kesho kuanzia saa 6 kamili mchana ambapo atafanya mkutano mkubwa sana Tarakea katika viwanja vya stendi ya mabasi Tarakea mjini, akitokea Jimbo la Siha kupitia west Kilimanjaro, kabla ya mkutano wake wa Tarakea Tundu Lissu atasalimia wakazi wa Kamwanga, Endonet na Rongai watakaokuwa eneo la Rongai, na baada ya kumaliza mkutano wa Tarakea akiwa njiani kuelekea Moshi kumalizia mkutano wake wa mwisho kwa siku ya kesho Moshi mjini, njiani atawasalimia wakazi wa maeneo yafuatayo...
Tarafa ya Mashati atawasalimia wale watakaokuwa wamesimama eneo la Mashati soko la zamani, hususan wale watakaosgindwa kuhudhuria mkutano mkubwa wa Tarakea.
Tarafa ya Mkuu atawasalimia wananchi eneo la kiboro.
Tarafa ya Mengwe atasalimia wananchi eneo la Mamsera.
Ninatumia fursa hii adhimu kuwaomba wananchi wote bila kujali itikadi zao za kisiasa kujitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA katika mkutano wake huo utakaofanyika Tarakea, lakini pia kwa wale watakaoshindwa kufika Tarakea, tujumuike katika maeneo yaliyotajwa hapo juu ambapo atafanya mikutano midogo midogo
*HII SIO YA KUKOSA**
*BERNADINE NGOWI**
*M/kiti CHADEMA**
*ROMBO**
29/09/2020
Sasa sjui siha ni wapi utajaza mwenyewe
Unaweza kujikuta nawewe ni mzazi unawatoto? Masikini Tanzania yangu
Aliyebaki kutibiwa nje na mabeberu ni Lisu tu
Huyo mtt wapekupiga tafuu mkuu,huwez kuwa ccm na kuwaza familia
Magwiji wa wauaji na watekajiCCM ndio magwiji wa siasa za Tanzania, mtaelewa tuu.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Wewe ulitekwa na kuuliwa lini?
KWA UPUMBAVU HUU WEWE NI POLEPOLO AU BUSHIRI HUNA HATA AIBU! LAKINI SISHANGAI MAANA HATA MARINDA HUNALeo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lissu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.
Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya Dkt. Magufuli aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili Dkt. Magufuli. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya mtiti wa jana TUNDU amechanganyikiwa.
Wakati Tundu akitafuta njia ya kurudi tena Iringa, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.
Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inazidi kumchanganya Tundu.
#JPM2020
Hovyooo kabisa, kwa taarifa yako muda huu anatokea Rombo anakuja Moshi baada ya kufanya mikutano Hai, Sanya Juu, Kamwanga, Tarakea, Mkuu, Himo.Leo mgombea wa CHADEMA Mh Tundu Antipasi Munghwai Lissu alipaswa kufanya mikutano yake ya kampeni mkoani Kilimanjaro. Ratiba iliyotolewa awali ilisema TUNDU atafanya mkutano mkubwa Wilayani Hai.
Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mh TUNDU ameshindwa kuendelea na kampeni baada ya kuona mapokezi makubwa ya Dkt. Magufuli aliyoyapata Mkoani IRINGA Jana. TUNDU amelazimika kupumzika ili aweze kujitathimini na kutafuta njia mpya ya kumkabili Dkt. Magufuli. TUNDU aliaminishwa IRINGA ni ngome yake, lakini baada ya mtiti wa jana TUNDU amechanganyikiwa.
Wakati Tundu akitafuta njia ya kurudi tena Iringa, mgombea Ubunge wa Jimbo la IRINGA kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefungua program ya kutafuta wafuasi wa kumsaidia mitandaoni.
Mikutano iliyoendelea Leo Ifunda, Mafinga, Nyololo, Makambako na Silali inazidi kumchanganya Tundu.
#JPM2020
Hongera Sana jpm,nimekusikiliza hata huko mbeya mwanzo mwishoLeo mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi yuko mkoani Njombe na kwa sasa anaongelea afya na Bima ya Afya.
Ameeleza kuwa walianza na vituo vya afya na kinachofata ni bima ya afya, pia ameelezea walishaanza na wamejitahidi kutoa huduma za bure kwa wazee, watoto wenye umri chini ya miaka mitano na wagonjwa wenye magonjwa makubwa wanahudumiwa na serikali.
View attachment 1584449
Magufuli amesema katika kipindi cha miaka mitano, wagonjwa kusafirishwa nje wamepungua kwani hata operesheni za moyo zinafanyika Dar es Salaam, operesheni za kubadilisha figo zinafanyika Dodoma na hospitali ya Njombe ikikamilika pia hayo yatafanyika.
Endelea kuwa nami kukujuza yanayojiri Njombe
===========
View attachment 1584452
View attachment 1584451
View attachment 1584450
MAGUFULI: Ndio maana tumekuja tena kuomba kura kwa sababu tunafahamu mikakati, tunafahamu mbinu lakini pesa pia zipo. Hatuitaji fedha za kukopa nje, fedha ziko hapahapa, zilikuwa zimekaliwa na mafisadi, mafisadi tumewabana zinaenda kwa wananchi.
===
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema sababu ya kugombea Urais kwa Muhula wa Pili ni mipango mizuri waliyonayo kwenye Ilani yao ya Uchaguzi
Kati ya mipango hiyo, ametaja pia kujenga Uwanja wa Ndege Mkoani Njombe, kwa kuwa watu wa Njombe ni wakulima wazuri. Amewatania kwa kusema, ndege pia zitatumika kusafirisha Ulanzi kuwafikia watu wa Dar
Pia, amesema atakamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Njombe na kuwezesha watanzania wote kuwa na Bima ya Afya na kabla ya kuwa na Bima ya Afya, kwanza wamepanga kujenga Vituo vya Afya, Hospitali na kuongeza bajeti ya kununua madawa
Ameyasema hayo alipokuwa Viwanja vya Polisi, Makambako Mkoani Njombe katika mkutano wa kampeni.