Polite JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 1,095 Reaction score 816 Sep 30, 2020 #61 LIMBOMAMBOMA said: Huyu mzee 2015 nilimpa kura, mwaka huu atanisamehe...taifa kwanza Click to expand... Taifa Kwanza ,kwani maendeleo anayofanya jpm,anafanya kwenye taifa lipi?
LIMBOMAMBOMA said: Huyu mzee 2015 nilimpa kura, mwaka huu atanisamehe...taifa kwanza Click to expand... Taifa Kwanza ,kwani maendeleo anayofanya jpm,anafanya kwenye taifa lipi?
Polite JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 1,095 Reaction score 816 Sep 30, 2020 #62 Anonymeous said: Mafisadi na yeye unajiweka wap ufisadi mkubwa wa uwanja wa chato bila kibali cha Bunge. Daaah huyo mtu wee acha tu Click to expand... Maendeleo imekua ufisadi?
Anonymeous said: Mafisadi na yeye unajiweka wap ufisadi mkubwa wa uwanja wa chato bila kibali cha Bunge. Daaah huyo mtu wee acha tu Click to expand... Maendeleo imekua ufisadi?
Polite JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 1,095 Reaction score 816 Sep 30, 2020 #63 CHIBURABANU said: Kweli CCM imebuma haipendwi tena..huu Uzi umewekwa toka SAA sita mpaka SAA hii mi ni mchangiaji Wa nne. Click to expand... Ccm inapendwa sana
CHIBURABANU said: Kweli CCM imebuma haipendwi tena..huu Uzi umewekwa toka SAA sita mpaka SAA hii mi ni mchangiaji Wa nne. Click to expand... Ccm inapendwa sana
W wagagagigi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2014 Posts 890 Reaction score 985 Sep 30, 2020 #64 YEHODAYA said: Aliyebaki kutibiwa nje na mabeberu ni Lisu tu Click to expand... https://www.facebook.com/
YEHODAYA said: Aliyebaki kutibiwa nje na mabeberu ni Lisu tu Click to expand... https://www.facebook.com/
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Sep 30, 2020 #65 greenwoods said: Huna sera kaa kimya, uliona wapi ulaya inajengwa kwa 5 yrs!? Labda ulaya ya tabora. Click to expand... Mbona unatumia nguvu nyingi kujibu swali hadi unajamba? Hayo mambo ya kwamba nchi yetu itakuwa kama Ulaya baada ya miaka 5 aliyasema Jiwe mwenyewe 2015. Sasa swali la uliona wapi Ulaya inajengwa kwa 5 yrs kamwuliza huyo JPM wako afafanue.
greenwoods said: Huna sera kaa kimya, uliona wapi ulaya inajengwa kwa 5 yrs!? Labda ulaya ya tabora. Click to expand... Mbona unatumia nguvu nyingi kujibu swali hadi unajamba? Hayo mambo ya kwamba nchi yetu itakuwa kama Ulaya baada ya miaka 5 aliyasema Jiwe mwenyewe 2015. Sasa swali la uliona wapi Ulaya inajengwa kwa 5 yrs kamwuliza huyo JPM wako afafanue.