Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kampeni ya mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli Bagamoyo, Pwani. Kikwete asema haoni hofu ya CCM kushindwa

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kampeni ya mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli Bagamoyo, Pwani. Kikwete asema haoni hofu ya CCM kushindwa

Mpaka sasa post 40 tu view 1700

Kwa Lissu post 120 view 4700

Magufuli hana chake aende chato,Kuna damu za watu zinamlilia
nilifikiria anaviews millioni 29 kumbe ni 4700 tu sasa asubirie kuona JPM atakavyojizolea kura za ndio kwenye box la kura.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kassim Majaliwa ni mtu sahihi sana muda ukifika
Ila ana tatizo kubwa la 'Uwoga' na 'Kutojiamini' Mkuu, labda tu 'Special Team' ianze 'Kumjenga' na 'Kumbadilisha' haraka kabla ya hiyo 2025 Mkuu.
 
UVCCM mfutwe kazi ,mbona mko kimya au hamjalipwa 7000/- uzi toka saa nne asubuhi umedorora
 

Mungu akusamehe bure ndugu yangu sijui hapo unajisema mwenyewe au unawasema wapinzani sijakuelewa.

Kama unawasema wapinzani naomba ukatubu kwani chuki zinahubiriwa na wewe mwenyewe kuwa hutaleta maendeleo kwa watu ambao hawataichagua ccm je hiyo siyo chuki?

Au unafikiri chuki ni mpinzani kusema hatakubali kunyang'anywa ushindi wake tu?

Mm nafikiri ungepumzika tu ukatumia mbinu mbadala kushinda kuliko kupiga kampeni tena maana naona umeshajawa na jazba mwisho wa siku utawakasirisha hata wale waliotaka kukupigia kura wakaacha bure maana kila siku unawachanganya mara maendeleo hayana chama mara mkiniletea mpinzani siwaletei maendeleo tuamini kipi sasa hatukuelewi.
 
Anti-Pas kimbunga muulize mzee lowasa,baada ya kimbunga alipata nini?.
Kuanzia 28 hadi 30 Tundu ndio atajua tofauti kati ya siasa na uwakili. Na atujua pia tofauti Kati ya kuwa mwanaharakati na Rais TLS; na kuwa Mwalimu, Mhandisi, Dr PhD pamoja na Rais wa nchi.
 
Wale wataalamu wakusoma picha nisaidieni kuisoma hii
Screenshot_20201018-111458_1603115382434.jpg
 
Miaka mingine 5 anaweza kuwa amekomaa zaidi
Kassim ni kigongo sana kuliko wengi wenu mnavyoweza kudhani ila tuu anaishi na simba lililo komaa Magufuli, ndio maana makucha yake hayaonekani wazi. Ni mtu wa kuaminika na kutegemewa.
 
Back
Top Bottom