Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Matokeo ya Vituoni CCM Imeshinda kwa kishindo katika uchaguzi Mdogo wa Dimani kama ilivyo tarajiwa kwa kuwa ushindi huo ulikuwa unaarajiwa kwa kuwa Jimbo hilo ni CCM watupu na hili cuf wanalijuwa na ndio maana hawakuwa na presha ya uchaguzi huo
 
hawa ma DAS na MADED ndio kazi waliyotumwa kufanya haya ya leo ni mazoezi ...tu ....inatakiwa ujasiri kuwafundisha adabu ili wajue hii sio karne ya giza
 
Makamanda ina maana hakuna hata kata moja ambayo wamemaliza kuhesabu kura? Mbona kimya makamanda? au hali si nzuri? hakuna hata matokeo ya awali? Makamanda mbona mmekuwa wapole gafla?
 
Wakuu leo ndiyo Ile siku ya kujua kama rais Magufuli ama anapendwa ama Tayari raia washamchoka. Tupia hapa kinachojiri katika zoezi la upigaji kura na matokeo, na vipi mwitikio wa wananchi
Kwa akili yako unazani huu ni uchaguzi wa rais ama diwani na mbunge mmoja. Unapima kukubalikwa kwa rais kwa jimbo moja la mbunge na madiwani 30. Hapo ni shida.
 
[1/22, 17:42] ‪+255 765 663 200‬: Kituo cha Momela1 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)

Ccm 138
Chadema 17
Cuf 2
[1/22, 17:42] ‪+255 765 663 200‬: Kituo cha Momela2 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)

Ccm 134
Chadema 21
Cuf 1
[1/22, 17:42] ‪+255 765 663 200‬: Kituo cha Momela3 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)

Ccm 136
Chadema 17
Cuf 1
[1/22, 17:42] ‪+255 765 663 200‬: Kituo cha Erikilimuni (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)

Ccm 109
Chadema 3
Cuf 1
[1/22, 17:42] ‪+255 765 663 200‬: Kituo cha Ofisi ya kijiji2 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)

Ccm 134
Chadema 84
Cuf 2
[1/22, 17:54] ‪+255 759 065 966‬: CCM Kata ya Mateves inaongoza kwa Ushindi wa 75%,Wilaya ya Arumeru,
 
Unajua kuwa unakosea??
 
[1/22, 17:42] ‪+255 765 663 200‬: Kituo cha Momela1 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)

Ccm 138
Chadema 17
Cuf 2
[1/22, 17:42] ‪+255 765 663 200‬: Kituo cha Momela2 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)
Yani na majanga yo
Ccm 134
Chadema 21
Cuf 1
[1/22, 17:42] ‪+255 765 663 200‬: Kituo cha Momela3 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)

Ccm 136
Chadema 17
Cuf 1
[1/22, 17:42] ‪+255 765 663 200‬: Kituo cha Erikilimuni (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)

Ccm 109
Chadema 3
Cuf 1
[1/22, 17:42] ‪+255 765 663 200‬: Kituo cha Ofisi ya kijiji2 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)

Ccm 134
Chadema 84
Cuf 2
[1/22, 17:54] ‪+255 759 065 966‬: CCM Kata ya Mateves inaongoza kwa Ushindi wa 75%,Wilaya ya Arumeru,
Hao wameipigia ccm kura kwa sababu gani?
No ajira.. Wamefurahi
Hakuna njaa... Wamefurahi
No kupanda madaraja ya mishahara... Wamefurahi wenzentu ee?
Big up ccm mbele kwa mbele makada na ma DED kazi nzuri sana..
Na serikali za mitaa rudisheni mihuri .....
 
Ktk maisha Yangu Naomba Mungu Aniepushie Kitukinacho Itwaa Uoga Skuuzote Ukiwa Muoga Utadhurumiwa Ata Mkee Wako Mawakara Wanatimuliwa Watuu Wamekaa Tuu Wanakodoa Machoo Kodooo, Wacha Washinde Tena Niupuuzi
 
Tutawagaragaza,tutawalambisha udongo,tutawacharaza,tutawato nishai,ndio mjue mama ni mama tu, ChamaDola ndio @ChamaMama!
Hamuwezi na hamjawahi na hamtokaa kushinda kwa kura zaidi ya wizi wa kura muulize hata Magu kama alishinda na ndiyo maana hamjiamini mnatumia kivuli cha dola.
Uliza viongozi wako wewe stomach thinker and seeker
 
Back
Top Bottom