Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijichi Tayari Chadema ishashinda
Kwa akili yako unazani huu ni uchaguzi wa rais ama diwani na mbunge mmoja. Unapima kukubalikwa kwa rais kwa jimbo moja la mbunge na madiwani 30. Hapo ni shida.Wakuu leo ndiyo Ile siku ya kujua kama rais Magufuli ama anapendwa ama Tayari raia washamchoka. Tupia hapa kinachojiri katika zoezi la upigaji kura na matokeo, na vipi mwitikio wa wananchi
Unajua kuwa unakosea??[1/22, 17:42] +255 765 663 200: Kituo cha Momela1 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)
Ccm 138
Chadema 17
Cuf 2
[1/22, 17:42] +255 765 663 200: Kituo cha Momela2 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)
Ccm 134
Chadema 21
Cuf 1
[1/22, 17:42] +255 765 663 200: Kituo cha Momela3 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)
Ccm 136
Chadema 17
Cuf 1
[1/22, 17:42] +255 765 663 200: Kituo cha Erikilimuni (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)
Ccm 109
Chadema 3
Cuf 1
[1/22, 17:42] +255 765 663 200: Kituo cha Ofisi ya kijiji2 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)
Ccm 134
Chadema 84
Cuf 2
[1/22, 17:54] +255 759 065 966: CCM Kata ya Mateves inaongoza kwa Ushindi wa 75%,Wilaya ya Arumeru,
Hao wameipigia ccm kura kwa sababu gani?[1/22, 17:42] +255 765 663 200: Kituo cha Momela1 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)
Ccm 138
Chadema 17
Cuf 2
[1/22, 17:42] +255 765 663 200: Kituo cha Momela2 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)
Yani na majanga yo
Ccm 134
Chadema 21
Cuf 1
[1/22, 17:42] +255 765 663 200: Kituo cha Momela3 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)
Ccm 136
Chadema 17
Cuf 1
[1/22, 17:42] +255 765 663 200: Kituo cha Erikilimuni (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)
Ccm 109
Chadema 3
Cuf 1
[1/22, 17:42] +255 765 663 200: Kituo cha Ofisi ya kijiji2 (Ngarenanyuki *Arusha, Meru*)
Ccm 134
Chadema 84
Cuf 2
[1/22, 17:54] +255 759 065 966: CCM Kata ya Mateves inaongoza kwa Ushindi wa 75%,Wilaya ya Arumeru,
Hamuwezi na hamjawahi na hamtokaa kushinda kwa kura zaidi ya wizi wa kura muulize hata Magu kama alishinda na ndiyo maana hamjiamini mnatumia kivuli cha dola.Tutawagaragaza,tutawalambisha udongo,tutawacharaza,tutawato nishai,ndio mjue mama ni mama tu, ChamaDola ndio @ChamaMama!