Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

IKIWA NDO HIVYO MFUMO WA VYAMA VYINGI BORA WAUFUTE TU
 
Acha Mapovu yawatoke Chadomo wamekung'utwa mpaka kata ya Matevez Arusha.

Ndo faida ya chama kununuliwa
 
Matokeo yangekuwa mazuri leo tungeona taarifa tangu saa 11.00.

Hii inaonyesha ngosha anawanyosha. Watu wamewekeza mitandaoni CCM kwa watu.
 
Hamuwezi na hamjawahi na hamtokaa kushinda kwa kura zaidi ya wizi wa kura muulize hata Magu kama alishinda na ndiyo maana hamjiamini mnatumia kivuli cha dola.
Uliza viongozi wako wewe stomach thinker and seeker
Mkuu kama magu hakushinda, kwanini lawama mnawapa wananchi kwamba waliichagua ccm...Na kudai acha waisome namba?
 
Matokeo yangekuwa mazuri leo tungeona taarifa tangu saa 11.00.

Hii inaonyesha ngosha anawanyosha. Watu wamewekeza mitandaoni CCM kwa watu.

Inawekeza kwa watu au kwa tume ya uchaguzi na jeshi la polisi? Anayeamini leo kulikuwa na uchaguzi huru anajidanganya mwenyewe. Nani anayechagua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi? Hapo utajua nani anapaswa kushinda.
 
Heko CCM Na M a DED Kazi nzuri hiyo ndio Demokrasia wapinzania wakileta fujo Polisi iwakamate Na Mahakama iwafunge bila faini
na mkiiba muwe mnatizamwa tu, halafu ukitoka hapo unaenda msikitini au kanisani kusali,
 
Vitu vingine vipo very clear CCM itashinda na 2020 upinzani wakiendelea na viongozi wa zamani waliochoka na kuishiwa mbinu na juu yake wapiga dili watapigwa chini vibaya kama MDC ya Zimbabwe. Shauri yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…