Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawekeza kwa watu au kwa tume ya uchaguzi na jeshi la polisi? Anayeamini leo kulikuwa na uchaguzi huru anajidanganya mwenyewe. Nani anayechagua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi? Hapo utajua nani anapaswa kushinda.
Kawaida yenu kusema uongo.hadi sasa chadema wameshinda kata 17 kati ya 20.
Gambia pamoja na rais kuwa mwanajeshi ameondoka kwa kura za watu.
Kinachotushinda sisi ni kutangulizi propaganda. Na hatutaki kubadilika. Hatutafika kabisa mkuu.
Mpaka Mbowe aondoke ndo tutafuata sera na falsafa ya chama.
Vitu vingine vipo very clear CCM itashinda na 2020 upinzani wakiendelea na viongozi wa zamani waliochoka na kuishiwa mbinu na juu yake wapiga dili watapigwa chini vibaya kama MDC ya Zimbabwe. Shauri yenu.
hii ni sababu ndogo sana ili upinzani ushinde ni lazima waache maslahi binafisi na iwe masilahi ya watz wote wavunje vyama vyote waunde chama kimoja tu cha upinzani ndo tutashinda ,vinginevyo tuwe washiriki na CCM wawe washindiVitu vingine vipo very clear CCM itashinda na 2020 upinzani wakiendelea na viongozi wa zamani waliochoka na kuishiwa mbinu na juu yake wapiga dili watapigwa chini vibaya kama MDC ya Zimbabwe. Shauri yenu.
yana kasoro yoyote? Ipi?Wapenda demokrasia hatuwezi kufurahia matokeo ya namna hii
Hakuna tume huru ya uchaguzi...yana kasoro yoyote? Ipi?
DAS anashiriki vipi kwenye uchaguzi?hawa ma DAS na MADED ndio kazi waliyotumwa kufanya haya ya leo ni mazoezi ...tu ....inatakiwa ujasiri kuwafundisha adabu ili wajue hii sio karne ya giza
Ukiona mtu ana porwa haki yake halafu hapigi kelele za kutosha ujue na yeye ana dhambi zake.Mkuu sidhani Kama unaelewa tatizo. Uporaji wa haki za watu ni kwa sababu viongozi ni wa zamani?