Oscar Mkumbo
New Member
- Jan 9, 2017
- 4
- 4
Unacheza mchezo ambao mwenzio kafungwa kamba miguuni kisha unatamba ushindi si ni ujuha huo? Yaani CCM inafanya mambo ya kijuha na kwa vile imeshazoea inaona ni kawaida tuu.Chakaza Daudi Mchambuzi
Mpaka sasa kati ya kata 22 CCM wana kata 19
Chadema wao wanakata line za vodacom tu
Endeleeni kukata lainiMazingira ya duru hayafankishi uchakachuaji!
Ila ccm Isitegemee kushinda popote pale, ikiwa kuna tume huru!
Ulitegeme kitu tofaut ilhal Jecha yupo
WAPINZANI KAMA HAWATA SIMAMIA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI 2020. WASITHUBUTU KUINGIA KWENYE UCHAGUZI, NI BORA KUWAACHIA CCM, WAENDELEE NA UTAWALA WAO. TUTASHINDWA KUWAELEWA, ISIJE IKAWA NA NINYI, MAPANDIKIZI. KWA CHAGUZI HIZI NDOGO, MSIPOJIFUNZA, BASI TENA. HATUTAWAAMINI NA NINYI, MTAKUWA NI WALEWALE TU, MNATUZUGA WATANZANIA. NGOJA TUSUBIRI.
Kwani Jecha alipangiwa kazi nyingine ama ni ile ile?
Jecha ni SI UnitJecha hahusiki na Uchaguzi huu!
Mtajiju.Unacheza mchezo ambao mwenzio kafungwa kamba miguuni kisha unatamba ushindi si ni ujuha huo? Yaani CCM inafanya mambo ya kijuha na kwa vile imeshazoea inaona ni kawaida tuu.
Eti DED ambaye ndio msimamizi wa uchaguzi anatembelea vituo huku kaongozana na Katibu wa ccm wilaya husika bila hata aibu! Bora kungekuwa na Mungiki huku kwetu nako maana wale wakiwa na pinde zao hawamkosi mtu.
Hii ni form batili, haina tarehe, mwezi wala mwaka. Haya no matokeo ya mwaka 1995 nini?