Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Nilishaanza kujifunza kutokutegemea jipya, kutegemea jipya ni kuendelea kuumiza moyo wangu.
 
Huko mwanza kata zote mbili ccm wameshinda.
Arusha nako kata mbili ccm wameshinda. Jimbo la Dimani limeenda ccm.
 
upinzani wana safari ndefu mno kwa wao
kuweza kuichukua nchi
nb:viongozi wa upinzani wajitathimini
kama wanafaa kuwa viongozi
maana naona kama upinzani
umekufa vile!!!!!!
 
Uchaguzi mdogo waubunge na mafiwani umefanyika hadi saa 12:45 tayari matokeo yalikua yanaanza kutangazwa
Ni maumivu kadri nilivyokua na pokea, matokeo inaeleke ccm wanaeza kushinda viti vyote cha ubunge na vile vya madiwani

Tujiginze. Usijione ww ni bora kuliko wachini yako 1 ni nyingi kuliko 1000 ndico kilichotokea leo kwenye uchaguzi huu
Naona vijna wa ccm wakitamba na matokeo yao
Ila vijana wa upinzani tumeroa

Embu acha ujinga, kaa chini ufikiri upya ulichodhamiria kusema!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
IMG-20170122-WA0036.jpg
 
upinzani wana safari ndufu mno kwa wao
kuweza kuichukua nchi
nb:viongozi wa upinzani wajitathimini
kama wanafaa kuwa viongozi
maana naona kama upinzani
umekufa vile!!!!!!

Mkiisha kuacha unafiki mkajitambua na kujielewa na waliopo madarakani wakatii utawala wa sheria yeyote anaweza kuongoza nchi,hakuna chama chenye hisa kuongoza Tanzania!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umwambie Lowassa asigombee 2020 eti kushinikiza Tume huru? Chadema watagawana Mbao[emoji3][emoji3]

Mkuu tunapozungumzia upinzani kumtaja Lowassa ni kama unatukosea heshima. Lowassa sio mpinzani bali ni mwanaccm aliyekosa nafasi huko akatumia anachokijua yeye kupata nafasi ya kugombea urais kupitia cdm. Kwa hiyo ninapozungumzia upinzani sio sahihi ukanitajia Lowassa.
 
Back
Top Bottom