MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Ungeandika ki lugha bora kidogoTime does make its reverses Hunter becomes the hunted. Dhulma za ccm last kick of a dying horse. HAKI.
Kuliko kujiaibisha!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeandika ki lugha bora kidogoTime does make its reverses Hunter becomes the hunted. Dhulma za ccm last kick of a dying horse. HAKI.
Ndivyo ugonjwa wako unavyokutuma mtu akiongea ukweli matusiww sio mpinzani
CCM imeshinda Kata zote isipokuwa Kata ya Duru manyara
Google translate , naona lugha inakupa shida. HAKI!
Kwa hizi taarifa nahisi kuumwaUjinga tu, uchaguzi kama vita sasa inamana gani si wangetangaza tu ccm mmeshinda toka asubuhi.
Nahakika lugha imezidi upeo ufahamu wako. HAKI.Ungeandika ki lugha bora kidogo
Kuliko kujiaibisha!!
Wera wera CCM oyee!Tumekijua Kizungu kabla ya kuzaliwa Google
Mh!! Ndio niniNahakika lugha imezidi upeo afahamu wako. HAKI.
Uchaguzi mdogo waubunge na mafiwani umefanyika hadi saa 12:45 tayari matokeo yalikua yanaanza kutangazwa
Ni maumivu kadri nilivyokua na pokea, matokeo inaeleke ccm wanaeza kushinda viti vyote cha ubunge na vile vya madiwani
Tujiginze. Usijione ww ni bora kuliko wachini yako 1 ni nyingi kuliko 1000 ndico kilichotokea leo kwenye uchaguzi huu
Naona vijna wa ccm wakitamba na matokeo yao
Ila vijana wa upinzani tumeroa
Mazingira ya duru hayafankishi uchakachuaji!Kote Tume si huru na Uchaguzi si huru isipokuwa Duru [emoji3][emoji3]
upinzani wana safari ndufu mno kwa wao
kuweza kuichukua nchi
nb:viongozi wa upinzani wajitathimini
kama wanafaa kuwa viongozi
maana naona kama upinzani
umekufa vile!!!!!!
Umwambie Lowassa asigombee 2020 eti kushinikiza Tume huru? Chadema watagawana Mbao[emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chakaza Daudi Mchambuzi
Mpaka sasa kati ya kata 22 CCM wana kata 19
Chadema wao wanakata line za vodacom tu