Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

WAPINZANI KAMA HAWATA SIMAMIA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI 2020. WASITHUBUTU KUINGIA KWENYE UCHAGUZI, NI BORA KUWAACHIA CCM, WAENDELEE NA UTAWALA WAO. TUTASHINDWA KUWAELEWA, ISIJE IKAWA NA NINYI, MAPANDIKIZI. KWA CHAGUZI HIZI NDOGO, MSIPOJIFUNZA, BASI TENA. HATUTAWAAMINI NA NINYI, MTAKUWA NI WALEWALE TU, MNATUZUGA WATANZANIA. NGOJA TUSUBIRI.
 
Hakuna mwananchi atakayeupa upinzani kura kwa sasa, kumejaa matapeli wa siasa huko watu washashtuka ndo maana CCM inazidi kupeta. Mbowe maneno mengi kumbe mkwepa kodi, Lowasa ndo usiseme, na wengine nyuma ya pazia. Upinzani ushachafuka labda mkagombee nchi ya Kusadikika
 
Chakaza Daudi Mchambuzi

Mpaka sasa kati ya kata 22 CCM wana kata 19
Chadema wao wanakata line za vodacom tu
Unacheza mchezo ambao mwenzio kafungwa kamba miguuni kisha unatamba ushindi si ni ujuha huo? Yaani CCM inafanya mambo ya kijuha na kwa vile imeshazoea inaona ni kawaida tuu.
Eti DED ambaye ndio msimamizi wa uchaguzi anatembelea vituo huku kaongozana na Katibu wa ccm wilaya husika bila hata aibu! Bora kungekuwa na Mungiki huku kwetu nako maana wale wakiwa na pinde zao hawamkosi mtu.
 
IMG-20170122-WA0036.jpg
 
Wapi hahaaaaa mmeanza mapema. Mmeishapigwa bao huko. Mkakojoe mlale
 
Hii ni form batili, haina tarehe, mwezi wala mwaka. Haya no matokeo ya mwaka 1995 nini?
 
Mie nakuunga mkono Mkuu katika hoja yako. Haiwezekani kuendelea kushirikia katika chaguzi ambazo unajua fika zimegubikwa na wizi wa hali ya juu miaka nenda miaka rudi huku ukitegemea kushinda. Bila katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi hakuna umuhimu wowote ule wa kushiriki uchaguzi. MACCM hayataki nchi hii iwe na mfumo wa vyama vingi na ndiyo sababu wanafanya kila hila ikiwemo kuwanyanyasa viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani, kuzuia uhuru wao wa kufanya shughuli zao za kisiasa, kuwafunga jela kwa makosa uchwara n.k. viongozi na Wabunge wa UKAWA. Nitawashangaa sana viongozi wa UKAWA kama katika mazingira kama haya wakiamua kushiriki katika uchaguzi wa 2020.

WAPINZANI KAMA HAWATA SIMAMIA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI 2020. WASITHUBUTU KUINGIA KWENYE UCHAGUZI, NI BORA KUWAACHIA CCM, WAENDELEE NA UTAWALA WAO. TUTASHINDWA KUWAELEWA, ISIJE IKAWA NA NINYI, MAPANDIKIZI. KWA CHAGUZI HIZI NDOGO, MSIPOJIFUNZA, BASI TENA. HATUTAWAAMINI NA NINYI, MTAKUWA NI WALEWALE TU, MNATUZUGA WATANZANIA. NGOJA TUSUBIRI.
 
Unacheza mchezo ambao mwenzio kafungwa kamba miguuni kisha unatamba ushindi si ni ujuha huo? Yaani CCM inafanya mambo ya kijuha na kwa vile imeshazoea inaona ni kawaida tuu.
Eti DED ambaye ndio msimamizi wa uchaguzi anatembelea vituo huku kaongozana na Katibu wa ccm wilaya husika bila hata aibu! Bora kungekuwa na Mungiki huku kwetu nako maana wale wakiwa na pinde zao hawamkosi mtu.
Mtajiju.
 
Hii ni form batili, haina tarehe, mwezi wala mwaka. Haya no matokeo ya mwaka 1995 nini?

Wewe endelea kusubiri yenye Tarehe acha sie tuendelee kushangilia na ukishapata yenye Tarehe usisahau kuwa Tume si huru na kura zenu zimeibiwa!
 
Back
Top Bottom