Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Utaendelea kulialia mpaka kuzimu
Hahaha
Chama kinacho tegemea Kick,Uzushi ma ZeRo
Kamwe hakiwezi kufanikiwa.
 

kirahisirahisi hivyo upewe katiba mpya
maendeleo au mabadiliko yoyote yana
gharama zake ambapo hizo gharama
hata hao viongozi wa upinzani huziogopa
hizo gharama

amani huwa haiji hivi hivi bila ncha ya
upan....
 
Tunapowaita jina la yule mnyama tunapigwa ban. Hamna kitu nyie porojo miiiiiiiingi. Hamna kitu nyie na mamvi wenu kwisha habari yake. Haya ngoja kesho usikie misababu kibaaaao. Kwishaaaaaaaaaaaaaaass
 
Tunapowaita jina la yule mnyama tunapigwa ban. Hamna kitu nyie porojo miiiiiiiingi. Hamna kitu nyie na mamvi wenu kwisha habari yake. Haya ngoja kesho usikie misababu kibaaaao. Kwishaaaaaaaaaaaaaaass
Ufipa kuna bundi
Hahaha
 
Tena wapigwe sana maana tamaa imewazidi wapinzani ni juzi tuu mmetuaminisha mlishinda mkaporwa ushindi tume ile ile mazingira yale yale uchaguzi unaandaliwa mnakimbilia kichwa kichwa bora mmpate mnacho stahili mmezidi tamaa
Yawezekana ukawa unayasema hayo ukiwa kwenye nyumba ya tope subiri siku ukuta ukidondoka maumivu utakayoyapata utatamani hata mtu akupe tone la maji angarau kotomro lako lilowane na hutompata muombe sana mungu akupe hekima na roho ya huruma ili ujitambue ya kuwa hayo unayoshabikia ni sawa na ziro
 
kirahisirahisi hivyo upewe katiba mpya
maendeleo au mabadiliko yoyote yana
gharama zake ambapo hizo gharama
hata hao viongozi wa upinzani huziogopa
hizo gharama

amani huwa haiji hivi hivi bila ncha ya
upan....
Malizia tu uje ugongewe mlango.
 

Hayo huwa mnayajua baada ya Matokeo kutoka
 
Ushindi lazima kuepuka fedheha ya Jammeh kufuta uchaguzi!
 
Na bado hizi ni rasha rasha tu, 2020 tunarudisha majimbo yetu yote, ikiwamo kinondoni, maana mtopea kashashindwa mapema tuu
 
Kuna kundi la Vijana waliotolewa Mwanza,walipelekwa kwa "kisingizio" kuwa wanaenda kwenye sherehe za Muungano,lkn toka 12/01 hawajarudi bara.

Hawa wote wamepiga leo kura huko Dimani na kumpa ushindi mbunge wa CCM...Hata picha zao tunazo.
Wakati mwingine unajiuliza,kwanini wasitangaze tu mfumo wa chama kimoja?Hizi ghalama za uchaguzi za nini?

Na unakuta Ijumaa mtu anakwenda msikitini kuswali na Jumapili mtu anasema mniombee
 
Umepanic
Mbona jamaa kaeleza vizuri
Umemuelewa vibaya.

Cdm mlikalia kick poleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…