Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Mkuu Hata Uchaguzi wa NEC tulisusa wa Jimbo la Kijitoupele Uliofanyika march 20 , 2016Kuna uchaguzi wa ZEC, huo ndio walioususa wakati ule. Huu ni wa NEC. Tulia kidogo uwe unapata nafasi ya kujisomea.
Mkuu,Ila hapa naona mjinga umekuwa wewe kwa kuangalia upande mmoja tu
Wale ambao kweli wanapigania ''mabadiliko'' wanahitaji kutoa nje ya fikra zilizowafunga ili waweze kuona ukweli wa kinachoendelea ndani ya vyama vyao.Wapinzani.wamelowanishwa mbaya.
Chaliiiiiiiiii.
Na hapo bado 2020 Nimejiandaa kumsupport JPM kuanzia humu JF
mpaka majukwaaani.
Nawahakikishia majimbo.yote kanda ya ziwa yatarudi ccm
Tuliambiwa uchaguzi mdogo wa ubunge na madiwani ni kipimo cha uongozi wa Rais Magufuli kama anakubalika au la!Hawa jamaa wasipojipanga 2020 wanapotea kwenye siasa, kumbuka matunda ya kazi anazofanya Magufuli na serikali yake yatakuwa yameanza kuonekana hata kwa watu wasio na uwezo wa kuyaona kwa sasa.
Wale ambao kweli wanapigania ''mabadiliko'' wanahitaji kutoa nje ya fikra zilizowafunga ili waweze kuona ukweli wa kinachoendelea ndani ya vyama vyao.
Mkuu;Kanda ya ziwa IPI wakati njaa inawua wananchi?
Sio kwa post kama hiiMkuu,
Upambanue ujinga wangu ili nipate elimu.
Kanda ya ziwa IPI wakati njaa inawua wananchi?
Maskini CUF na CHADEMA.