Udaku siku zote ni wa kupelekwa LumumbaMkuu;
Umekosea njia, peleka huo udaku special kwenye jukwaa lake ambalo linapatiakana hapa;
JOKES/UTANI + UDAKU/GOSSIPS
mzee punguza bangi bora saa nyengine bugiya cocaine kidogo ivi mtu agijitangazia kuwa kashinda ina uhusiano gani na kutangaza matokeo kifungu gani cha sheria ya uchaguzi kinachosema kuwa mtu akijitangazia ushindi uchaguzi utakuwa umeharibikaBado kuna baadhi ya wananchi na hasa wapinzani wanaamini kama mabadiliko Tanzania yataletwa na waliokuwa viongozi wakuu waandamizi ndani ya CCM na serikali ya CCM ambao ni Edward Lowassa na Maalim Seif.
Ikumbukwe kuwa Lowassa na Maalim Seif wanalishwa, kuvalishwa na kulindwa na serikali ya CCM. Hii ina maana na mantiki kubwa sana kwenye siasa za nchi za Afrika.
Aliyewahi kusema ‘’wajinga ndio waliwao’’ hakukosea kwa sababu hata Tanzania katika uwanja wa siasa kuna wajinga wengi sana ambao ''wanaliwa'' na baadhi ya wanasiasa ambao ni political entrepreneur.
Nilikuwa ninashangaa na kucheka kila nikisoma mabandiko ya baadhi ya watu wakisema ‘’Uchaguzi mdogo wa ubunge na madiwani katika kata 20 ni kipimo cha uongozi wa Rais Magufuli’’.
Nikawa ninajiuliza, kama chaguzi ndogo ndio mizani ya kipimio cha utendaji wa Rais Magufuli kwa kutumia mawe ya mizani yanayoitwa Lowassa na Maalim Seif, basi itakuwa ni kupoteza muda kwa sababu haya mawe hayafai kutumika katika mizani. Haya ni mawe ya kugushi (fake).
Matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Mbunge na Udiwani katika kata 20 tumeyasikia na kuyaona. Ni kipigo na kilio kwenye kambi za upinzani.
Ninafahamu kuna baadhi ya watu watakuja na nyimbo zenye chorus zinazosema uchaguzi haukuwa huru na haki.
Mwaka 2015 wakati vyama vya upinzani vinapanga mkakati wa kukabiliana na CCM, Lowassa alijitokeza na kuwaambia kazi hiyo wamwachie yeye, wao kazi yao iwe ni kupiga kura na kurudi nyumbani. Matokeo yake tunayafahamu.
Huko Zanzibar, wakati CUF inaendelea kufanya vizuri wakati wa zoezi la kuhesabu kura, Maalim Seif alijitokeza na kuvuluga uchaguzi baada ya kujitangaza mshindi kinyume cha sheria ya uchaguzi. Yaliyojiri baadaye ni historia.
Kwa sasa Maalim Seif amewashawishi tena CUF waingie kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar wakati huku Bara, Lowassa akiwashawishi CHADEMA waingie tena kwenye uchaguzi wa madiwani wakati hawajajipanga ipasavyo. Matokeo yake tumeyaona. Wamepata kipigo kama cha mwizi!
Waingereza hupenda kusema, “It is difficult to see the picture when you are inside of the frame.”
Wajinga wataendelea kuimba Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko huku CCM ikiendelea kuwapa kipigo cha kisiasa katika chaguzi mbali mbali.
Wala hana sababu ya kuupambanua kwa kuwa umejipambanua wenyewe!Mkuu,
Upambanue ujinga wangu ili nipate elimu.
mambo kama haya unayoyaandika huwa miaka yote hayatusaidii sisi ukawa kupata kura, mwisho wa siku yanatokea kama yaliyotokea kwenye chaguzi ndogo!Asilimia kubwa ya vijana wanao shabikia ccm wanakuwa na upungufu wa homoni fulani hivi kwa wingi (kwa wanaume)
Kitu kinachowafanya muda wote kuchekacheka hovyo na hupenda sana kukaa saloni za kike kupiga umbea ..
Hawa vijana hawafanyagi kazi kabisa,mara nyingi hushinda lumumba kusubiria mgao wa buku( )
Naongea hivi kutokana na experience yangu ya kukaa na watu tofauti tofauti hapa bongo
*kwa ujumla tabia zao ni kama vile;*
-kupenda vya bure
-hawapendi kujitegemea
-asilimia kubwa ya vijana(wa kiume) wanapenda kukaa saloni za kike kupiga umbea
-wanadeka kwa wazazi wao
-wanapenda kufanya kitu ili kuwafurahisha wakubwa zao. Hata Kama hajui anachokifanya
-wengi wana mapungufu fulani hivi (mabwa.bwa) kwa watoto wa kiume ........and so on...
Nikisema niweke picha humu nahisi watanimeza
Pia sishabikii chama chochote ili nipate slope!!![emoji28]
Samahani lakini kama nimewachoma ila nimeongea ukweli
Labda uliona kwa TV ya chumbani Lumumba [emoji23]Niliona.through tv lipokuwa kuwa Geita nimsikia akiwaambia wananchi People's.......wakajibu Power, nae akawauliza Power?.......wakakaa kimya.wengine.wakaanza kucheka tu
Kwanini unachagua maeneo? Kasamwa na Katunguru umefika lini ukakuta vyakula vya kutosha? Sula na njaa wala usilijadili hapa kwa kuwa serikali imeishatoa msimamo kuwa "njaa ipo na itasambaza chakula", kusoma hujui na hata picha huwezi kuona? Jumapili ijayo kaungane na KKKT wanaombea hali hii nchi nzima!Dogo ukianzia Shelui, Igunga, Nzega, Mwanhuzi,Tinde,Kagongwa,Isaka,Bukene,Lunzewe, katoro,Kasamwa, Katunguru, lamadi, Kiabakari,Majita, Kiogoto, Rorya, kote vyakula.vipo vya kutosha njoo ujionee mnatunga stori.za.kusadikika nani atawasikiliza
Tena nyie Vijana wa Ukawa ndio mabwabwaaa ..Yaani bora kijana wa ccm kidogo anajiongeza kwa kujipendekeza ..lakini sio nyinyi mapunga Kutwa mmekaa mnalalamikaa Kama watoto wa kike vile!!mambo kama haya unayoyaandika huwa miaka yote hayatusaidii sisi ukawa kupata kura, mwisho wa siku yanatokea kama yaliyotokea kwenye chaguzi ndogo!
Mkuu;Ni heri mjinga kuliko mpumbavu kwa sababu mjinga akielimishwa ataelewa lakini Siyo mjinga. Mungu akusaidie uelewe kuliko kukaa kwenye kibox kinacho it was CCM. Wenzako walishinda siku nyingi na kuchomoka. Kalagabao
Mabasi yamepeleka watu, box zina kura tayari, watu wanatishiwa kupigwa, mawakala wa vyama vingine wametolewa nje wataacha kuwa na kura nyingi? (hawajashinda wamelaghai)Habari wadau, kwa habari nilizopata ni kuwa, chama cha mapinduzi kimeshinda viti vingi vya udiwani ktk uchaguzi uliofanyika jana maeneo mbalimbali ya nchi yetu.