gfesto
JF-Expert Member
- Nov 6, 2013
- 653
- 146
Mbali na matusi mnayotoa, hivi kweli katika hali ya kawaida kabisa, mna uhakika Lowassa, Sumaye na Sefu, watakomboa vyama vya upinzani na hata kuchukua dola? Hayo ni maigizo. Saana ni watu wa changamoto tu. Hawa jamaa wanakula bure na ulinzi juu!! Wana shida gani uonavyo wewe? Vyama vyote mnavyo viita vya upinzani, mimi naona vyote ni vya chama tawala, sasa huo upinzani uko wapi.