Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Haya ndio yaliyojiri uchaguzi wa Dimani Zanzibar!!! Wakati mwengine M/Mungu akitaka kukuaibisha basi unakosa kichaka cha kujifichia, inawezekana wapi ufanyike uchaguzi halafu ikosekane kura hata moja iliyoharibika!!!!!!????
Mambo hayakuishia hapo tu!!! Wapiga kura wa Dimani kabla ya kuelekea kituo cha kupiga kura wote walipita saloon kuweka mchicha kichwani na kupiga moka huku walipokuwa katika foleni wakawa wanaficha sura zao zisitambulike

Na mwisho hii ndio silaha yao nyengine waliyotumia hawa nguruwe pori kulazimisha ushindi kwa nzi wao wakijani

Kwa hali kama hii halafu atokezee chokostic mmoja aje kuwaponda Mh. Lowassa na maalim Seif kutokana na matokeo ya Uchafuzi uliofanyika Jana!!! CCM bila ya kuyafanya haya na kuwatumia wale wasiojielewa na kulitambua ni lipi jukumu lao basi siku zote tutaendelea kufanya Uchafuzi ambao unatumia gharama kubwa za kodi za wananchi.

Reactions: bne
Huna akili nzuri hata kidogo hakuna MTU mwema ccm hata 1 ukizingatia kwa upuuzi wanaotufanyia jk ndio chanzo cha haya yote

Mabasi yamepeleka watu, box zina kura tayari, watu wanatishiwa kupigwa, mawakala wa vyama vingine wametolewa nje wataacha kuwa na kura nyingi? (hawajashinda wamelaghai)
Tanzania hakuna free and fair election HAKUNA!!!!
Bila kukinukisha hao wapuuzi wataendelea huo ujinga kwa sababu wanasaidiwa na polisi.

Huu uchaguzi tutegemee style za kawaida za CCM. Uchaguzi danganya toto tu hauna faida kwa waliowengi.

Siku zote ukitaka kumtawala MTU mnyime elimu maana hatazijua haki sake kama raia

UKAWA mumeshindwa vibaya mno hadi aibu duh 2020 mjiandae tena

Leo ndo leo uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani Zanzibar na uchaguzi wa madiwani kata 20 Tanzania bara.

Ni chaguzi zitazotoa mwelekeo na mabadiliko na ukubalikaji wa vyama tangu uchaguzi mkuu wa 2015.

Karibuni tupeane updates na matukio yanayojiri huko.

.......Updates...........

* Uchaguzi wa Ubunge unafanyika kwenye jimbo la Dimani, Wilaya ya Magharibi “B”, Mkoa wa Mjini Magharibi – Zanzibar

Uchaguzi wa madiwani unafanyika kwenye kata Ishirini (20) katika Halmashauri Kumi na Tisa (19) za Tanzania Bara, kata hizo ni...

1. Ngarenanyuki (Meru DC, Arusha),
2. Igombavanu (Mufindi DC, Iringa),
3. Ikweha (Mufindi DC, Iringa),
4. Kiwanja cha Ndege (Morogoro MC, Morogoro),
5. Ihumwa(Dodoma MC, Dodoma),
6. Kijichi (Temeke MC, Dar es Salaam),
7. Kahumulwa (Sengerema DC, Mwanza)
8. Maguu (Mbinga DC, Ruvuma),
9. Ng’hambi (Mpwapwa DC, Dodoma),
10. Kimwani (Muleba DC, Kagera),
11. Kinampundu (Mkalama DC, Singida),
12. Isagehe (Kahama TC, Shinyanga),
13. Kasansa (Mpimbwe DC, Katavi),
14. Duru (Babati DC, Manyara),
15. Malya (Kwimba D.C, Mwanza),
16. Misugusugu (Kibaha TC, Pwani),
17. Mateves (Arusha D.C, Arusha),
18. Nkome (Geita DC, Geita),
19. Lembeni (Mwanga DC, Kilimanjaro) na
20.Uchaguzi udiwani Kata ya Ngarenanyuki DED na ccm wapora daftari la wapiga kura

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru Bwana Christopher Kazeri anatembelea vituo akiwa ameambatana na viongozi wa ccm.Sheria za uchaguzi haziruhusu viongozi wa vyama vya siasa kupiga kambi kwenye vituo vya uchaguzi.Hii imeweza kutokea Ngarenanyuki tu mkurugenzi wa halmashauri ambaye ni msimamizi wa uchaguzu kutembea na viongozi wa ccm.

mkurugenzi akiwa ameambatana na makada wa ccm wamewanyang'anya mawakala wa vyama daftari lenye majina ya wapiga kura.

Safari ya demokrasia kwa nchi yetu bado sana.
Hii haikubaliki popote.

Tume ya taifa ya uchaguzi kwa mtindo huu huu uchaguzi hauwezi kuwa huru na haki.

Francis12, UPDATES MCHAGUZI MDOGO JIMBO LA Kumetokea mgogoro kati ya mawakala wa CUF na Askari Polisi. Hali hii imepelekea mawakala wa CUF kuondolewa kwa nguvu kwenye vyumba vya kupigia kura na hivyo mawakala wa CCM kubaki peke yao.Sababu za mgogoro huu ni kama ifuatavyo:Mawakala wa CUF amegundua baadhi ya masanduku yamejazwa kura ambazo zimeshapigwa tiki kwa mgombea wa CCM.-Mawakala wa CUF wamegundua kuwa kuna watu hawamo ndani ya daftari la kupiga kura ila wamekuja kupiga kura na wameruhusiwa kupiga licha ya majina yao kukosekana kwenye daftar

i.Chumba number 6 kituo cha Kibondeni, imegundilikana kwamba masunduku yote yaliyopo yamejazwa kura ambazo zimeshapigwa tayari.Wapiga kura wengi jimbo la Dimani ni hewa.

Police wameanza kupiga watu maeneo ya Fuoni kituo cha Kibondeni baada ya watu hao kudai kuna kura feki kwenye kituo hicha.Katika kituo hicho cha Fuoni mabasi yamekua yakisomba watu na kuwaleta kupiga kura. Watu hao si wakazi wa jimbo la Dimani. Picha hapo chini inaonesha moja ya mabasi yanayotumika kusomba watu na kuwapeleka vituoni kupiga kura

USHABIK MBAYA SANA UPO JF WENZIO WAPO VITUON

Hizi ni ngojera tu ambazo zimezoeleka pamoja na kwamba zinashabikiwa na wale wenye fikra finyu.

Mleta mada upo sahihi.Unaporomoka sana,lazima wajipange upya.Kumbe CCM bado ni chama pendwa na chenye nguvu.Humu JF siyo pa kufanyia sampling.Hizi 'chaguzi'za jana moyo wangu ulikuwa kifuani nilivyokuwa nalinganisha na nilichokuwa nakisoma humu kwenye Foramu.Magufuli yuko vizuri.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…