Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Siamini kama wanachaguliwa hao wanajichagua wenyeweNgoja tu maisha yawe magum, yani CCM imesababisha maisha magum hivi halafu bado wapumbavu wanakuja wanawachagua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini kama wanachaguliwa hao wanajichagua wenyeweNgoja tu maisha yawe magum, yani CCM imesababisha maisha magum hivi halafu bado wapumbavu wanakuja wanawachagua.
Haya ni maneno ya mkosajiSiamini kama wanachaguliwa hao wanajichagua wenyewe
Ninashukuru lakini pia ungeniambia kwa post ipi kwa sababu post iliyokuvuta mpaka kutoa komenti ni hii!Sio kwa post kama hii
Bila kukinukisha hao wapuuzi wataendelea huo ujinga kwa sababu wanasaidiwa na polisi.Mabasi yamepeleka watu, box zina kura tayari, watu wanatishiwa kupigwa, mawakala wa vyama vingine wametolewa nje wataacha kuwa na kura nyingi? (hawajashinda wamelaghai)
Tanzania hakuna free and fair election HAKUNA!!!!
Chalii kama avatar yako mkuu eti eeeh [emoji6] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji6] [emoji2]Wapinzani chaliiiiiiiiii, ndembendembe, kifo cha mende miguu juuuuuuuuu.
Nani atamfunga paka kengele 😀Bila kukinukisha hao wapuuzi wataendelea huo ujinga kwa sababu wanasaidiwa na polisi.
Leo ndo leo uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani Zanzibar na uchaguzi wa madiwani kata 20 Tanzania bara.

Ni chaguzi zitazotoa mwelekeo na mabadiliko na ukubalikaji wa vyama tangu uchaguzi mkuu wa 2015.

Karibuni tupeane updates na matukio yanayojiri huko.

.......Updates...........

* Uchaguzi wa Ubunge unafanyika kwenye jimbo la Dimani, Wilaya ya Magharibi “B”, Mkoa wa Mjini Magharibi – Zanzibar

Uchaguzi wa madiwani unafanyika kwenye kata Ishirini (20) katika Halmashauri Kumi na Tisa (19) za Tanzania Bara, kata hizo ni...

1. Ngarenanyuki (Meru DC, Arusha),
2. Igombavanu (Mufindi DC, Iringa),
3. Ikweha (Mufindi DC, Iringa),
4. Kiwanja cha Ndege (Morogoro MC, Morogoro),
5. Ihumwa(Dodoma MC, Dodoma),
6. Kijichi (Temeke MC, Dar es Salaam),
7. Kahumulwa (Sengerema DC, Mwanza)
8. Maguu (Mbinga DC, Ruvuma),
9. Ng’hambi (Mpwapwa DC, Dodoma),
10. Kimwani (Muleba DC, Kagera),
11. Kinampundu (Mkalama DC, Singida),
12. Isagehe (Kahama TC, Shinyanga),
13. Kasansa (Mpimbwe DC, Katavi),
14. Duru (Babati DC, Manyara),
15. Malya (Kwimba D.C, Mwanza),
16. Misugusugu (Kibaha TC, Pwani),
17. Mateves (Arusha D.C, Arusha),
18. Nkome (Geita DC, Geita),
19. Lembeni (Mwanga DC, Kilimanjaro) na
20.Uchaguzi udiwani Kata ya Ngarenanyuki DED na ccm wapora daftari la wapiga kuraBado kuna baadhi ya wananchi na hasa wapinzani wanaamini kama mabadiliko Tanzania yataletwa na waliokuwa viongozi wakuu waandamizi ndani ya CCM na serikali ya CCM ambao ni Edward Lowassa na Maalim Seif.
Ikumbukwe kuwa Lowassa na Maalim Seif wanalishwa, kuvalishwa na kulindwa na serikali ya CCM. Hii ina maana na mantiki kubwa sana kwenye siasa za nchi za Afrika. Yaani wanakaa kupanga mikakati ya kuiangusha serikali ya CCM huku wakilindwa na maofisa waliotumwa kufanya kazi na Rais.
Aliyewahi kusema ‘’wajinga ndio waliwao’’ hakukosea kwa sababu hata Tanzania katika uwanja wa siasa kuna wajinga wengi sana ambao ''wanaliwa'' na baadhi ya wanasiasa ambao ni political entrepreneur.
Nilikuwa ninashangaa na kucheka kila nikisoma mabandiko ya baadhi ya watu wakisema ‘’Uchaguzi mdogo wa ubunge na madiwani katika kata 20 ni kipimo cha uongozi wa Rais Magufuli’’.
Nikawa ninajiuliza, kama chaguzi ndogo ndio mizani ya kipimio cha utendaji wa Rais Magufuli kwa kutumia mawe ya mizani yanayoitwa Lowassa na Maalim Seif, basi itakuwa ni kupoteza muda kwa sababu haya mawe hayafai kutumika katika mizani. Haya ni mawe ya kugushi (fake).
Matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Mbunge na Udiwani katika kata 20 tumeyasikia na kuyaona. Ni kipigo na kilio kwenye kambi za upinzani.
Ninafahamu kuna baadhi ya watu watakuja na nyimbo zenye chorus zinazosema uchaguzi haukuwa huru na haki kama vile wanalazimishwa kuingia kwenye chaguzi.
Mwaka 2015 wakati vyama vya upinzani vinapanga mkakati wa kukabiliana na CCM, Lowassa alijitokeza na kuwaambia kazi hiyo wamwachie yeye, wao kazi yao iwe ni kupiga kura na kurudi nyumbani. Matokeo yake tunayafahamu.
Huko Zanzibar, wakati CUF inaendelea kufanya vizuri wakati wa zoezi la kuhesabu kura, Maalim Seif alijitokeza na kuvuluga uchaguzi baada ya kujitangaza mshindi kinyume cha sheria ya uchaguzi. Yaliyojiri baadaye ni historia.
Kwa sasa Maalim Seif amewashawishi tena CUF waingie kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar wakati huku Bara, Lowassa akiwashawishi CHADEMA waingie tena kwenye uchaguzi wa madiwani wakati hawajajipanga ipasavyo. Matokeo yake tumeyaona. Wamepata kipigo kama cha mwizi!
Waingereza hupenda kusema, “It is difficult to see the picture when you are inside of the frame.”
Wajinga wataendelea kuimba Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko huku CCM ikiendelea kuwapa kipigo cha kisiasa katika chaguzi mbali mbali.
Naona unaongea live kutoka LumumbaHaya ni maneno ya mkosaji
Hizi ni ngojera tu ambazo zimezoeleka pamoja na kwamba zinashabikiwa na wale wenye fikra finyu.Asilimia kubwa ya vijana wanao shabikia ccm wanakuwa na upungufu wa homoni fulani hivi kwa wingi (kwa wanaume)
Kitu kinachowafanya muda wote kuchekacheka hovyo na hupenda sana kukaa saloni za kike kupiga umbea ..
Hawa vijana hawafanyagi kazi kabisa,mara nyingi hushinda lumumba kusubiria mgao wa buku( )
Naongea hivi kutokana na experience yangu ya kukaa na watu tofauti tofauti hapa bongo
*kwa ujumla tabia zao ni kama vile;*
-kupenda vya bure
-hawapendi kujitegemea
-asilimia kubwa ya vijana(wa kiume) wanapenda kukaa saloni za kike kupiga umbea
-wanadeka kwa wazazi wao
-wanapenda kufanya kitu ili kuwafurahisha wakubwa zao. Hata Kama hajui anachokifanya
-wengi wana mapungufu fulani hivi (mabwa.bwa) kwa watoto wa kiume ........and so on...
Nikisema niweke picha humu nahisi watanimeza
Pia sishabikii chama chochote ili nipate slope!!![emoji28]
Samahani lakini kama nimewachoma ila nimeongea ukweli
Mimi sijawahi kusikia CCM wakisema Lowasa siyo fisadi.