Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Ccm wameishiwa pumzi
 
Wajifanya mtani wakati wajenga uadui. Ukipanda upepo, utavuna kimbunga
Kwikwikwi. Mchezo huu hauhitaji hasira. Tulia tu sindano iingie vizuri mtani wangu wa chama kilichoishiwa pumzi. Kwikwikwikwi. CCM oyeee!
 
Kwikwikwikwi. Hizo kauli za mtu aliyeshindwa. Kwikwikwikwi, mfa maji lazima atapetape. CCM juu juu juu zaidi.
Sawa kabisa juu juu zaidi. Lakini ukiona mtu anajisifu kwa uhalifu ujue tayari kichwani hayuko sawa. Utafika wakati vichwa vitatenganishwa na miili. Yametokea sehemu nyingi duniani na watu walikebehi kama ufanyavyo kabla.
 
Si rahisi ccm kushinda bila dola wanajiandalia kupendwa kwa lazima wakati wanajua hawapendwi hivyo vikata 22 haviwasaidii kwa sababu uchaguzi mkuu hawakatizi
 
Nimetoka kupiga kura Kijichi hapa kama lisaa lililopita. Muitikio ni mdogo. Nilifuatilia kampeni. Nimeipigia Chadema. Ila upepo mgumu, possibility ya CCM kushinda ni kubwa. Upinzani unagawana kura. Kwa hiyo Ushindi huku kwa upinzani utakua Muujiza sana.
 
Mwisho wa mchezo tutatangaziwa ccm imeshinda kwa kishindo kata zote na hii inadhihirisha kukubalika na kuaminika kwa serikali ya mtukufu...pfyuuuuuu....my foot
 
Hakika uchaguzi wa Dimani ccm imeumbuka vibaya sana ! Sasa nimeamini kwa Zanzibar ccm haipo na bila msaada wa polisi ingebaki stori .
 
CCM ni zaidi ya shetani wanakaba hadi penati za wapinzani.
 
Si rahisi ccm kushinda bila dola wanajiandalia kupendwa kwa lazima wakati wanajua hawapendwi hivyo vikata 22 haviwasaidii kwa sababu uchaguzi mkuu hawakatizi
Ukishindwa kuwazuia kwa kata hizo 20 uchaguzi Mkuu utawezaje??
 
Kwa hali kama hii ni heri CCM wangejitangazia utawala wa maisha likajulikana moja,kuliko kudanganya kuwa nchi ni ya kidemokrasia,lakini kinapofikia kipindi cha kupiga kura,wananchi wanaacha kazi zao wanakwenda kumchagua kiongozi wanayemtaka,lakini CCM wanatwaa haki za wananchi kwa kuwachagulia kiongozi ambaye hawakumtaka,huku kodi zao zikiwa zimetumika kwa maandalizi ya uchaguzi.
 
Maccm watajitahidi kujionesha wao ndio wa jjuu katika marudio ya chaguzi hizi zinazoendelea leo kote Nchini.

Lakini ukweli utabakia tangu uchaguzi wa Octoba 2015 CCM IMEKUFA imebaki na WIZI WA KURA TU.
2020 SIO MBALI KWA JINSI MAGUFULI ANAVYOTOKA KWA MANENO NA MATENDO YAKE SADUKU LA KURA LITAWAUMBUA VIBAYA MNO.
 
Hakika uchaguzi wa Dimani ccm imeumbuka vibaya sana ! Sasa nimeamini kwa Zanzibar ccm haipo na bila msaada wa polisi ingebaki stori .
Haya Ndio maneno ya wapinzani always nilimsikia Trump juz akisema "Time for empty talks is over" lakini kwetu bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…