Nonsense!Chama cha upinzani ni kupinga kila kitu maana kwa akili zao za mchangani wenye uwezo wa kushinda ni wao, chama tawala kikishinda ni fujo na kudai wameibia. Puuuuu!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nonsense!Chama cha upinzani ni kupinga kila kitu maana kwa akili zao za mchangani wenye uwezo wa kushinda ni wao, chama tawala kikishinda ni fujo na kudai wameibia. Puuuuu!!!!!
Mkuu;
Una maana gani?
Haki haiombwi hata siku moja. Hapa ni africa na mna deal na waafrica hawa sio wazungu hawa ni ccm ni kina barrow ni kina qaddafi ni kina mugabe.
Sasa mkidhani mtawashinda kwenye box la kura msahau.
Woga wetu ndio umaskini wetu
tuna zungumzia njaaa au uchaguziKanda ya ziwa IPI wakati njaa inawua wananchi?
Kama wewe na akili yako unawapigia kura wakwepa kodiBado kuna binadamu mwenye akili timamu anapanga foleni kuipigia kura ccm,!!! maajabu haya
Huwezi kuruka mkojoNgoja tu maisha yawe magum, yani CCM imesababisha maisha magum hivi halafu bado wapumbavu wanakuja wanawachagua.
Kilicho wakuta hawana hamu!!!mbona chagadema mpo kimya au uchaguzi huu mmevurumishiwa za Uso? sio kawaida yenu domo kutulia hivi.!!!
Ila kwa siasa za kipumbavu zilizopo sasa wenye akili wataamka.Nani atamfunga paka kengele 😀
Watanzania tulivo waoga
Nadhani amekosea jukwaa!tuna zungumzia njaaa au uchaguzi
Haaaaaaaah hii ni live kutoka ofisi zetu za Ufipa hapa nasubiri buku mbiliNaona unaongea live kutoka Lumumba
Mimi na nani? Unanijua mimi na crew yangu?Hamkumuweza JK, JP mtamuweza wapi?
Pamoja na yote hayo, wewe unaona leo hii tuna uongozi bora au unawalaumu "wapinzani" kwa kutuangusha na kutuharibia misingi ya demokrasia ya kweli kwa kutomsikiliza JK?
Mkuu,Mtoa mada std 7 akili ndogo sana,ujisomee angalau vijitabu mkuu uelimike usijitie aibu humu uwanjani.
Katiba Mpya waliyoisusia ilikuwa na Tume huru na Haki ya kuhoji Ushindi wa Rais Madarakani.
Jakaya alikusudia Kuwasaidia Wapinzani Indirect na ikiwezekana wapate Wabunge wengi ikiwezekana iundwe Serikal ya Umoja wa Kitaifa Kama alivyowafanyia Zanzibar 2010lakin walipoteza hiyo bahati kwa kususia Katiba Mpya na kumchukua Lowassa Kama Mgombea wao!
Habari yako?Siamini kama wanachaguliwa hao wanajichagua wenyewe
Nzuri sana....za weweHabari yako?
Teh Teh Teh..........