Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Mambo ya chenga twawala lakini kutufunga wametufunga niliyaachia zenji
Ukiwa na duka uwe unaangalia kadiri muda unavyokwenda duka lako linafilisika au linazidi kukua. Usijisifie tu kwamba una duka.
 
Naona Mada inahama zaidi jibu maswali yangu kule juu
 
Haihami Sema huelewi mfano huu. Fuatilia tangu tumeanza chaguzi kwa mfumo wa vyama vingi nani anapoteza Majimbo, Kata, Vijiji/Mitaa na Vitongoji na nani anaongeza katika kila uchaguzi. Hapo utaelewa maana ya mfano huo

Mkuu Kwaheri ya kuonana.... nice to talk with you... i got nothing and i appreciate take a good care.
 
It is true that you have got nothing!! It is because you are narrow minded
 
Dah kukuuliza nimekukosea? how come you said kind of word to someone you don't know! nimekuaga vizuri kumbe wataka shari ? je wataka nami nikupe maneno yatakayokutoa utu?
 
Pamoja na haya yote yanayojiri, CCM kushinda uchaguzi kumempa Magufuli uhakika kuwa anayoyafanya yanakubalika na ni sahihi. Is this true?
 
No, atakuwa mmoja wa watu wa ajabu sana duniani kuamini hivyo huku akijua kuwa kuna michezo ya ajabu ikiwemo marehemu kupiga kura.
Kwa kweli utakuwa wehu
 
Huyo marehemu kaamka makaburini kaenda kupiga kuraw halafu akiwaje karudi tuna alikopumzika kwa amani?au kaendelea na mishe zake zingine za kazi
 
Ndiyo anakubalika kwa ujumla.Angalia hii-Jana nilimuuliza rafiki yangu kuhusu uchaguzi wa Kata ya Kimwani(Kagera) ambapo CCM imeshinda kwa kishindo kwamba imekuwaje tena si mlisema Rais aliwadhalilisha wana Kagera.Yule jamaa alinipa jibu ambalo kila mtu alitafakari kwa ubongo wake.Alsema hivi "Wananchi wa kwenye kata husika wanawapigia watu husika kwa sababu wanaishi nao maeneo hayo hayo katika maisha yao ya kila siku na kwamba hawawezi kutumia hasira za mtu aliye mbali kumuumiza mtu wampendaye".Sikumjibu lolote.So,wapiga kura are dealing with individuals............!!
 
Huyo jamaa alijibu sahihi ila huyo wampendae lazima atafuata matakwa ya wamchukiaye
 
Pamoja na haya yote yanayojiri, CCM kushinda uchaguzi kumempa Magufuli uhakika kuwa anayoyafanya yanakubalika na ni sahihi. Is this true?
anakubalika siku zote labda kama zako zilikuwa zimekamatwa na wadeki barabara
 
Pamoja na haya yote yanayojiri, CCM kushinda uchaguzi kumempa Magufuli uhakika kuwa anayoyafanya yanakubalika na ni sahihi. Is this true?
Ha ha ha . njia rahisi ya kujua anakubalika aweke TUME huru ya uchaguzi na aheshimu katiba inayoruhusu harakati za kisiasa na Uhuru wa maoni. Kinyime chake ni kututukanisha watz
 
Unajisikiaje unapokua wa kwanza kwenye mtihani kwa maksi za kuungaunga yaan umeangalizia mitihani yote?? Leo kwa juma kesho kwa ali?? Au shule yenu imeiba mitihani walimu wakasolve wakawapa majibu..?? Yote hayo yanatokea alafu unakutana na watu waliotoboa kwa nguvu mnaanza kupiga story wewe utasimlia nn .... NDO Kinachowakuta CCM
 
Back
Top Bottom