Ukiwa na duka uwe unaangalia kadiri muda unavyokwenda duka lako linafilisika au linazidi kukua. Usijisifie tu kwamba una duka.Mambo ya chenga twawala lakini kutufunga wametufunga niliyaachia zenji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na duka uwe unaangalia kadiri muda unavyokwenda duka lako linafilisika au linazidi kukua. Usijisifie tu kwamba una duka.Mambo ya chenga twawala lakini kutufunga wametufunga niliyaachia zenji
Naona Mada inahama zaidi jibu maswali yangu kule juuUkiwa na duka uwe unaangalia kadiri muda unavyokwenda duka lako linafilisika au linazidi kukua. Usijisifie tu kwamba una duka.
Haihami Sema huelewi mfano huu. Fuatilia tangu tumeanza chaguzi kwa mfumo wa vyama vingi nani anapoteza Majimbo, Kata, Vijiji/Mitaa na Vitongoji na nani anaongeza katika kila uchaguzi. Hapo utaelewa maana ya mfano huoNaona Mada inahama zaidi jibu maswali yangu kule juu
Naona Mada inahama zaidi jibu maswali yangu kule juu
Mkuu Kwaheri ya kuonana.... nice to talk with you... i got nothing and i appreciate take a good care.Haihami Sema huelewi mfano huu. Fuatilia tangu tumeanza chaguzi kwa mfumo wa vyama vingi nani anapoteza Majimbo, Kata, Vijiji/Mitaa na Vitongoji na nani anaongeza katika kila uchaguzi. Hapo utaelewa maana ya mfano huo
It is true that you have got nothing!! It is because you are narrow mindedMkuu Kwaheri ya kuonana.... nice to talk with you... i got nothing and i appreciate take a good care.
Dah kukuuliza nimekukosea? how come you said kind of word to someone you don't know! nimekuaga vizuri kumbe wataka shari ? je wataka nami nikupe maneno yatakayokutoa utu?It is true that you have got nothing!! It is because you are narrow minded
Huyo jamaa alijibu sahihi ila huyo wampendae lazima atafuata matakwa ya wamchukiayeNdiyo anakubalika kwa ujumla.Angalia hii-Jana nilimuuliza rafiki yangu kuhusu uchaguzi wa Kata ya Kimwani(Kagera) ambapo CCM imeshinda kwa kishindo kwamba imekuwaje tena si mlisema Rais aliwadhalilisha wana Kagera.Yule jamaa alinipa jibu ambalo kila mtu alitafakari kwa ubongo wake.Alsema hivi "Wananchi wa kwenye kata husika wanawapigia watu husika kwa sababu wanaishi nao maeneo hayo hayo katika maisha yao ya kila siku na kwamba hawawezi kutumia hasira za mtu aliye mbali kumuumiza mtu wampendaye".Sikumjibu lolote.So,wapiga kura are dealing with individuals............!!
anakubalika siku zote labda kama zako zilikuwa zimekamatwa na wadeki barabaraPamoja na haya yote yanayojiri, CCM kushinda uchaguzi kumempa Magufuli uhakika kuwa anayoyafanya yanakubalika na ni sahihi. Is this true?
Sitaki matusi,anakubalika siku zote labda kama zako zilikuwa zimekamatwa na wadeki barabara
Ha ha ha . njia rahisi ya kujua anakubalika aweke TUME huru ya uchaguzi na aheshimu katiba inayoruhusu harakati za kisiasa na Uhuru wa maoni. Kinyime chake ni kututukanisha watzPamoja na haya yote yanayojiri, CCM kushinda uchaguzi kumempa Magufuli uhakika kuwa anayoyafanya yanakubalika na ni sahihi. Is this true?
basi jifunze kuwa na busaraSitaki matusi,
Ndo uone kwamba upinzani bado sana. Wapo kuisoma namba tu.Kwani uko si kuna watu walisusa kulikoni tena kuna uchaguzi wa nini si upinzani ulisusa sasa imekuaje
Mkuu naona umeisoma namba ya kichina sasa. Subiri na za kikore zinakujaCcm ni chama cha mashetani, dhambi yao hii itawatafuna ni muda tu!