Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini iwe cuf na isiwe ccm wanaoharibu kula?Sasa kwani kuharibika kura ni ushujaa au sheria? Kwa hiyo Cuf huwa mnatuma watu kuharibu kura? Kama mliwatuma kuharibu kura basi wameshindwa kutekuleza agizo lenu poleni sana........
Hivi ili uchaguzi uwe halali kura zinatakiwa kiharibika? Sikulijua hili!
Haishangazi sana kwa maana ukawa wote akili zenu zinafanana!Utajuaje na wewe una kiharusi?
Na wewe sio kula bali ni kura,bila shaka kuswahili ulipata FKwanini iwe cuf na isiwe ccm wanaoharibu kula?
Na wewe sio kuswahili ni kiswahili,bila shaka hili somo ulipata 0Na wewe sio kula bali ni kura,bila shaka kuswahili ulipata F
Mkuu kama ulisoma statistics kuna kitu kinaitwa margin of error kweli takwimu za watu zaidi ya 6000 margin of error iwe ZERO like 0??? Hiii statistical package ya wapi wanatumiaHaishangazi sana kwa maana ukawa wote akili zenu zinafanana!
Walioisoma ni nyie wahafidhina, nipo na maisha yangu yapo murwa na hata hakuna nzi wa kunibabaisha!Mkuu naona umeisoma namba ya kichina sasa. Subiri na za kikore zinakuja
Haa haaa haa kumbe unajijuaNonsense!
nadhani kuna mambo yalisahaulika kutoka chama kimoja kwenda vyama Vingi.Unajua watanzania ni watu wa ajabu sana. Ninyi wapinzani kamwe hamtashinda kwa mfumo huu wa uendeshaji uchaguzi ulivyo. Tume ya uchaguzi sio taasisi huru hawawezi wakasimamia haki hawa. Yaani wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa chama tawala halafu nyie wapinzani mnategemea mtashinda?
Mkurugenzi wa halmashauri ambae ni kada wa chama tawala ndie msimamizi wa uchaguzi!!!
Mkuu wa wilaya ambae anatajwa kwamba ndie mwnyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ni kada wa chama tawala.
Amkeni kutoka kwenye usingizi, agenda yenu namba moja iwe ni mabadiliko ya katiba hasa eneo hili la uchaguzi.
Uwanja wa kwao
Refa wa kwao
Washika vibndera wa kwao
Kamisaa wa kwao
Halafu mnategemea kushinda????
Usikimbie kama huna breki