Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

jussa.jpg
 
hee msijali 2020 tutaweka zilizoharibika umetukumbusha kitu muhimu sana. IT wetu naye alikuwa na harakaharaka
 
Sasa kwani kuharibika kura ni ushujaa au sheria? Kwa hiyo Cuf huwa mnatuma watu kuharibu kura? Kama mliwatuma kuharibu kura basi wameshindwa kutekuleza agizo lenu poleni sana........
 
kwa jinsi wazanzibari ninavyowajua upeo wake kati ya watu mia lazima atokee japo mmoja atoboe macho picha ya mgombea!naunga mkono hoja ni maajabu kura zisiharibike kwa zanzibar,hawa jamaa huwa ni wagumu kuelewa wepesi kusahau
 
Sasa kwani kuharibika kura ni ushujaa au sheria? Kwa hiyo Cuf huwa mnatuma watu kuharibu kura? Kama mliwatuma kuharibu kura basi wameshindwa kutekuleza agizo lenu poleni sana........
Kwanini iwe cuf na isiwe ccm wanaoharibu kula?
 
Hivi ili uchaguzi uwe halali kura zinatakiwa kiharibika? Sikulijua hili!
 
CCM wana kata 32,hapa mtaani

Chadema wana kata laini za vodacom
 
Hahhahahaha inanikumbusha uchaguzi wa uganda kuna jimbo moja huko mbarara lina wapiga kura 80,000 afu wote wameandikishwa afu wote walipiga kura (hakuna aliyesafiri au kuumwa au udhuru) afu wote hawakuharibu kura hta moja afu wote wakachagua museveni.......yaani 100% daah 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Haishangazi sana kwa maana ukawa wote akili zenu zinafanana!
Mkuu kama ulisoma statistics kuna kitu kinaitwa margin of error kweli takwimu za watu zaidi ya 6000 margin of error iwe ZERO like 0??? Hiii statistical package ya wapi wanatumia
 
Mkuu naona umeisoma namba ya kichina sasa. Subiri na za kikore zinakuja
Walioisoma ni nyie wahafidhina, nipo na maisha yangu yapo murwa na hata hakuna nzi wa kunibabaisha!
...narudia ccm ni janga kwenye taifa hili imejaa ushetani!
 
Unajua watanzania ni watu wa ajabu sana. Ninyi wapinzani kamwe hamtashinda kwa mfumo huu wa uendeshaji uchaguzi ulivyo. Tume ya uchaguzi sio taasisi huru hawawezi wakasimamia haki hawa. Yaani wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa chama tawala halafu nyie wapinzani mnategemea mtashinda?

Mkurugenzi wa halmashauri ambae ni kada wa chama tawala ndie msimamizi wa uchaguzi!!!

Mkuu wa wilaya ambae anatajwa kwamba ndie mwnyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ni kada wa chama tawala.

Amkeni kutoka kwenye usingizi, agenda yenu namba moja iwe ni mabadiliko ya katiba hasa eneo hili la uchaguzi.

Uwanja wa kwao
Refa wa kwao
Washika vibndera wa kwao
Kamisaa wa kwao

Halafu mnategemea kushinda????

Usikimbie kama huna breki
nadhani kuna mambo yalisahaulika kutoka chama kimoja kwenda vyama Vingi.
 
Back
Top Bottom